Recent content by chinkychinky

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ni shirika gani la kiserikali linalotoa training Kwa waajiriwa wapya?

    Ni shirika gani la kiserikali linalotoa training Kwa waajiriwa wapi? Je, kuna mtu yoyote yupo training Kwa Sasa?
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Masingle mother

    Napitia Uzi kibao na comment mbalimbali nikiona wanaume wanawakashifu masingle mother wakati wimbi Ili la masingle Maza wamesababisha wao Kwa kukwepa na kukimbia majukumu Yao. Wimbi kubwa la Wanawake saiv ni singo Maza mwingn aliolewa kaachika na watoto kaachiwa ndo maan wa mama wamejaa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Aliyekwambia nani ACHA uongo na kuongea vitu ambavyo una uhakika navyo mwanamke anayeendelea kupasha viporo na huyo mzaz mwenzk Bado aja move on Wanawake wangap wamezaa na wameolewa wametulia Hata hao ambao awajazaa mbona wanapasha pia Ni akili tu na hulka ya mtu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Aaaaamin ila pombe hapana Wanaume wanywa pombe Sio watunzaji wa familia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Yupo kaoa ana maisha yake Hizo ni imani potofu mlizojiweka katik kudharau wanawake tu waliozaa hata ambao awajazaa mbona wanaendelea kupasha viporo na wapenz Wao wazamani Mm Sio type hiyo ya kupashan viporo nimemove on na nilikosea kwenda tu siwez kukosea kurudi sawa ndugu Na heri Mimi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Mimi nina umri miaka 28 Nina elimu ya chuo kikuu pia nafanya kazi katik kampuni Fulani Dar Nina mtoto Mmoja kiukweli nahitaji mume wa kunioa naumia sana kuishi maisha ya usingle, nipo serious na maisha kwasababu nimepitia vingi na kujifunza mengi. Nahitaji mtu pia aliye serious katik kutafuta...
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejitoa kwa mpenzi wangu nimegundua haya. Je, nifanyeje?

    Wanaume kama wewe walikufaga Vita vya Kwanza vya dunia yaan huyo mdada atakuja kujuta
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama humtaki mdada mwambie ukweli aendelee na maisha mengine

    Kuna rafiki yangu anaishi na mwanaume japo sio moja kwa moja huyo jamaa ana kazi nzuri tu lakini rafiki yangu ni jobless. Jamani huyu dada anafanya majukumu yake yote kama mke akiwa na jamaa yake mfano kupika kufua na mengineyo lakin jamaa hampi hata sh moja ata akiomba ya vocha jero tu hampi...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuache kuomba pesa 2021

    Tunamshukuru mungu kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka huu mpya. Ushaur wangu kwa wanawake tunauanza mwaka huu mpya naomb tuuanze kwa mabadiliko makubwa Kwanza tuache kuomba pesa kwa wanaume , wanawake tuchape kazi tupambane kujitafutia rizik tujikwamue kweny dimbwi la umaskini na kutumika ovyo...
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki wanaume wenye pesa

    Hahahhaahah mi dume mbona
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki wanaume wenye pesa

    Pole ya nn
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki wanaume wenye pesa

    Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

    Ndo maan dunia inanuka zinaa
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

    Ulijua mwanaume
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndio maana wanaume siku hizi hawaoi...

    Wanawake wa kizazi hiki tumejiachia mno, tumejirahisisha mno yaani ukitongozwa tu siku moja siku ya pili umeshampa kila kitu, siku ya tatu umehamia kabisa gheto mwezi ushajibebesha na mimba yake mtu hujui historia yake vizuri, kisa amekwambia anakupenda anakuhonga vijihela unaona umefika. Ndio...
Back
Top Bottom