Recent content by CHINI JUA JUU ARDHI

  1. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Nimekereka Sana Leo

    😀
  2. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Nimekereka Sana Leo

    Sijaona upendo na mshikamano kama jf.just imagine mtu kaandika ushuzi wa njano lakini bado wadau wanamsapot na kumpa pole huu ni upendo wa hali ya juu.
  3. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?

    Nawaza huyo jamaa mama yake ni mchawi anamtaka mtoto ampe mikoba.mtoto atarudi ila jua atakua ametengenezwa cha kufanya nenda mwanza tumia nguvu au polis kumrudisha.fanya chap mama huyo mtoto hayuko salama kama unavozan
  4. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Hiyo nyimbo imepita mule mule.daah kwel dunia ina pande mbili.wengine wanasikiliza nyimbo kama burudan wakt wengine wanakuwa wametupa msg dunian kwamba n wale wale miaka yote.mandela unazid kunikosha.japo wadau wanasema n bla bla ila twende hivo hivo.vitu hiv n vichungu kama dawa vinaitaj maji...
  5. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Hhaha mandela bna.unapangilia mambo mpaka msomaji anaduwaa.ila bwana mandela aka simba mtoto hii msg ya kagame imetupwa kwa nan hasa.yaan ili jiwe nan anarushiwa gizan?
  6. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Hahahaha.inabid tuishie hapo
  7. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Mku faida ya mitandao n kuitumia vizur kama haujavunja sheria kwann uogope kusema.unachosema leo kitakua faida kubwa kwa vizaz vijavyo.ndo uzur wa mitandao.mbona bwana charles anaweka elimu vizur tu kwa manufaa ya weng. Naomba utupe elimu hyo
  8. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Hahaha kumbe ndo maana ukivamia siasa unakufa kama kuku
  9. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Nimepiga mstar,hata hao warembo hapo chini wanasura za simba.
  10. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Miti gani inaweza kupunguza maji kwenye ardhi?

    Mchukue fund mwambie apime sentimeta 50 barabaran aweke alama.then achukue pipe level kutoka kwenye hiyo 50cm aende nayo mpaka site kwako nako aweke alama.kwa maana ya kwamba level ya 50cm ya barabaran ndo itakua level ya udongo utakao jaza site kwako. Sasa bac nashaur jenga msingi wa mawe...
  11. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Miti gani inaweza kupunguza maji kwenye ardhi?

    Kiwanja chako kina ukubwa gani? Barabara ipo umbal gan kutoka kwenye kiwanja? Na je barabara huwa inajaa maj?
  12. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Charles mandela hauboi haupoi. Kudos
  13. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Nakupata kwa karibu rais wa udom. Mkuu una mambo meng sana hii ndo faida ya mitandao
  14. CHINI JUA JUU ARDHI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Kumbe Hii mizk nyuma ya pazia imeficha mafumbo makubwa hv? Hii ndo faida ya mitandao
Back
Top Bottom