Recent content by Chingula

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo jumbe za sms zinakwama hewani au haziendi kabisa, shida nini?

    Kumbe hii ni kwa wengi nikadhani labda laini yangu,wahusika walifanyie kazi hili
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wakati ‘ Condoms ‘ zikiadimika Tanzania na ‘ Hatari ‘ kuzidi Mtangazaji Hassan Ngoma wa CMG anaomba Watu wafe kabisa

    Jamaa acha wivu wa kike kwani wakinzinzika wewe kinakuuma nini
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni tabia ya kuwaambia wanaume wakaoge ndipo mfanye mapenzi

    Kiongozi kaondoe kikwapa hicho
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Jinsi ya kumtongoza mwanamke unayemtaka na ukampata kwa urahisi

    Asubiri mpaka aoe ndo apewe uzoefu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    Kitengo cha saikolojia kinakuhusu kama mtu uliye vizuri mifumo ya mwili huwezi sema hivi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi SSRA akanusha madai ya kupunguzwa mafao ya watumishi: Pensheni hailipwi kwa miaka 12.5 tu bali kwa muda wote wa uhai wa wastaafu

    Acha watu watumie haki yao kuhoji kukaa kusubiri Mungu ashuke aje akusemee wakati katupa akili ya kupembua mambo inakuwa Si sahihi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa mke wa mtu kwenda likizo kwao kila mwaka?

    Tatizo watu wanaingia kwenye ndoa kama majaribio Ivi hawajui wanaenda kuanza maisha yao wazazi wasalimie lakini kwa utaratibu sio kila Likizo kama Mwanafunzi bana
  9. C

    JamiiForums Tanzania Majina ya utani ya sehemu za siri za mwanamke na mwanaume

    Hii itakuwa kanda ya kati
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa mke wa mtu kwenda likizo kwao kila mwaka?

    Jiandae kuwa single mother Sent using Jamii Forums mobile app
  11. C

    JamiiForums Tanzania Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Tembea sasa kipigo umepata
Back
Top Bottom