Wote mnaopinga hamjajua namna zoezi hili lilivyo,hivi Kwa mfano mwenyekiti wa mtaa au kitongoji anawezaje kwenda peke yake kuhoji watu wanaoingia kiwanda Cha Dangote? Au ukute mtaa una lorge zaidi ya 3,na una hospitali kubwa,una stendi ya basi,etc,madhara yake hapo watu wengi hawatohesabiwa...
Acheni hizo, kwani hizi AJALI zimeanza baada ya traffic kuondoka? Walipo kuwepo AJALI zilikuwepo na walikua wanasumbua madereva, kwahiyo Bora wasirudi tu
Lakini pia Huwa wanaongea vionjo Ili kufurahisha hadhira,vitu ambavyo hata wachekeshaji wetu Huwa wanafanya na tunalipa Hela nyingi kwenda kuangalia( stand-up comedy)
Taifa hili si la wasomi pekee,hivi we unafikili Kila mtu anapenda nyimbo za matusi za baadhi ya wana muziki wetu? Mbona nyimbo zinapigwa tena wachezaji wapo nusu uchi,hao wastaarabu na wasomi wapo wapi?Azam wekeni hiyo Channel mtapata wateja wengi tena hata mkikiweka kwenye premier watu tutalipia
Basi kiswahili kitumike kufundishia Awali Mpk Chuo kikuu na kusiwe na English medium ndani ya Nchi Ili tukuze kiswahili,ila Kwa hali ya Sasa Bora tuwe na English mwanzo mwisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.