Kwanza hongera sana kwa kupata mtoto kingine ningekushauri kuwa sio jambo jema kutoa mimba,,,, " jaribu kutengeneza maisha sasa ya kuweza kuilea Mimba pamoja na mwenza wako anaitaji ukaribu wako sana sasa ukiwa umeanza kumkataa sasa uje unaweza kumsababishia kuweza kujichukulia hatua nyingine...
Nina malalamiko makubwa la kwanza na kuhusu uombaji wanguzo za umeme ,,,maana tume toa taarifa kuhusu kubadilishiwa kwa nguzo ya umeme maeneo ya hapa kwetu (Mbezi Mtoni ,fremu sita )nguzo imeoza mpaka basi tumetoa taatifa ta kubadilishiwa nguzo wanasema kuwa tutakuja kushughulikia mpaka sasa...
Kitu kingine ttcl wekeni usawa jamam unaposema watumishi bando muwakumbuke wote jaman co watu waserikali tu na ma bank aise ... sio sawa kweli mnasema nyumban kumenoga wakati hata wafanya usafi maofisin na watu wenye makapuni mengine mna waninyima fulsa hiyo sio sawa aise
Habari kiukweli mwenzenu napata changamoto kubwa sana kwenye upande wa TTCL pesa kila wiki mnakuwa na tatizo la kununua vifurushi kupitia TTCL pesa maana unakuta muda mwengine vinagoma kabisa yaani... inafikia hatua hadi namba ya siri mnaifunga na kusema ni batili imekuwa ikinipa shida sana hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.