Recent content by Chingale

  1. Chingale

    Kanisa Katoliki launganisha sikukuu ya Uhuru Tanganyika

    TEC walienda ikulu kupeleka barua bila wewe kujua, how sure you're kama hawa kina TEC hawafanyii vikao vyao pale Ikulu bila wewe kujua? #Mama Maria Msimamizi wetu!!!
  2. Chingale

    Maombi Mapya ya Kesi ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kusikilizwa Kesho

    Kamanda ameshasema aachwe.... Mbona hamsikii nyie? Kamanda Lema anatembea na ule uzi wakina mzee Mandela, amesema kuna wengi mnapaswa kuwasaidia kabla yake manaake wana zaidi ya miaka 3 hawajapelekwa mahakamani. Mwacheni Kamanda acheni viherehere
  3. Chingale

    Lusekelo (Mzee wa Upako) ana mapepo na ni Agent wa Shetani. Ataka oa mke mwingine?

    Fact ni kwamba "NANI KASEMA OENI MKE MMOJA" maana haya anaona si maneno ya mungu! Sasa kama unaamini vinginevyo si mbaya ukitupa maandiko
  4. Chingale

    Lusekelo (Mzee wa Upako) ana mapepo na ni Agent wa Shetani. Ataka oa mke mwingine?

    Kuoa mke zaidi ya mmoja SIO UZINZI, Unataka kuniambia leo kati ya Lusekelo na Ibrahim (baba wa Imani) nani MZINZI?
  5. Chingale

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Miye naenda na sitarajii kurudi hivi karibuni
  6. Chingale

    USHAURI: Milioni 20 ya mkopo kipindi cha Magufuli, niwekeze kwenye nini?

    Ukiweka maelekezo hapa unaweza kutusaidia wengi mkuu,
  7. Chingale

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Malila Darasa ulilotoa ni zuri sana hakika huu ni uwekezaji uliouwaza kwa zaidi ya miaka mitatu, unfortunately sikuwahi kupata info nilizozipata kwenye hii thread. Ningelipata mapema labda leo miti yangu ingekuwa na zaidi ya miaka 3. Lakini mungu alikuwa na makusudio yake! Membership please...
  8. Chingale

    Makamu wa Rais kulala kwa RC, Itifaki inasemaje?

    Punguza hasira, kumbuka una miaka tisa mbele yakuwaona wakiwa IKULU sasa usipokuwa makini utaugua gonjwa la ajabu.
  9. Chingale

    Makamu wa Rais kulala kwa RC, Itifaki inasemaje?

    Utaratibu ni kwamba watu wa usalama ndio husema wapi analala, na wakati mwingine anaweza akahama usiku akaenda kulala hata usipotegemea kabisa. Unaweza kudhani unajua anapolala kumbe halali hapo. Sababu zakiusalama ndizo zinazopelekea hivyo. Lakini kila Nyumba ya RC kuna "rest house" kwa...
  10. Chingale

    Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Natamani kujua zaidi kuhusu hii kitu
  11. Chingale

    Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Punguza negative attitudes kwenye kila kitu! Hakuna biashara isiyokuwa na changamoto, hata huo ufugaji wa kuku mimi nimewahi kufanya wakafa kwa ugonjwa wa Gumboro, lakini siwezi kusema hiyo hailipi kwasababu kuna watu wanatengeneza hela kila uchwao
  12. Chingale

    Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Chukua hii kama utaona inafaa.... Fanya biashara ya mbao mkuu, nunua mbao border ya Tanzania na Mozambique njoo uuze dar. Baada ya kulipa vibali vyote vinavyohitajika mbao(mninga) mpaka inafika sokoni (dar) itakuwa imekula 32k kwa kila moja. Bia ya jumla sokoni sasa hivi ni 46k-50k Sasa...
Back
Top Bottom