Lusekelo (Mzee wa Upako) ana mapepo na ni Agent wa Shetani. Ataka oa mke mwingine?

Yesu alisema kipofu akiongoza vipofu wenzake atawatumbukiza wote shimoni. Hicho ndicho Lusekelo alichofanya maana waumini wake wamepigwa upofu. Wanafuata anachosema hawafuati neno la Mungu kwenye biblia linavyosema. Lusekelo ametia aibu sana Ukristo maana alikuwa anaeleweka kuwa ni mtumishi wa Mungu. Kumbe ni mtumishi wa pombe na roho ya kuoa wake wengi (uzinzi)

Kuoa mke zaidi ya mmoja SIO UZINZI,
Unataka kuniambia leo kati ya Lusekelo na Ibrahim (baba wa Imani) nani MZINZI?
 
Nmejikuta wakati flan nikitafakari sana matendo ya huyu anayejiita Mchungaji na kugundua ana mapepo na ni mtumishi wa shetani kabisa.

Kitendo cha kusema anamtafuta aliyesema wakristo waoe mke mmoja amhoji tayari anaonesha kuukana ukristo na kujihalalishia uzinzi.

Mungu angetaka adam awe na wake wengi angemtengenezea na mwingine.lakini hakufanya hivyo.kusudio la Mungu lilikuwa mke moja na mume mmoja. Kuhoji uhalali wa neno hilo tayari anaonesha ni mtu aliyekengeuka.

Ndugu huyu anayefahamika kwa majivuno na kiburi kinyume na matendo ya ukristo Yesu aliposema Mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu. Yampasa ajinyenyekeze na kujishusha kama mtoto mdogo.

Lusekelo ambaye ni juz juz tu alikumbwa na kashfa ya ulevi jambo ambalo ni aibu hata kwa mchungaj kusingiziwa. Bado hakuweza kujieleza akaelweka machoni pa watu wa Mungu.

Style yake ya mafundisho imejikita zaidi katika yeye kupokea sadaka na tunaona hata kwnye ibada anavyofurahia kutuzwa pesa. Na hapa ndipo ukristo unapozidi kujidhihilisha kuhusiana na siku za mwisho kutakuwepo na manabii na wa uongo na wachungaj wa aina ya lusekelo.

Haya ni mafundisho ya kishetani kabisa. Tamaa za mwili ndizo zinazoweza mkristo akahoji jambo kama hili.

Yesu anasema mwanaume atamwacha babaye na mamaye naye ataambatana na MKEWE na si WAKEZE. Mathayo 19:3-9

Ukina Mkristo anaanza kutaman yaliyo kwa shetan ujue tayar shetan ameshamkamata. Tuendako usishangae kusikia lusekelo anaruhusu waumini wake kuoa wake zaidi ya mmoja.

Kwani Musa alikua na wake wangapi? Je hakua mtakatifu? Mfalme Suleiman anasifika sana naalipendwa na Mungu. Je alikua na wake wangap? Kabla hamja mhukum mumsikilize kwanza!
 
Jehova aliruhusu bila pingamizi lolote abraham awe na wake wawili,
jacobo awe na wake wanne,
solomoni wake elfu moja na vimada juu,
hata david nae akaoa wakati keshakua wa kutoa nje kuota jua.
Mimi naona lusekelo yuko sawa

+Moses
 
Fact ni kwamba "NANI KASEMA OENI MKE MMOJA" maana haya anaona si maneno ya mungu!

Sasa kama unaamini vinginevyo si mbaya ukitupa maandiko
 
Mungu angetaka adam awe na wake wengi angemtengenezea na mwingine.lakini hakufanya hivyo.kusudio la Mungu lilikuwa mke moja na mume mmoja. Kuhoji uhalali wa neno hilo tayari anaonesha ni mtu aliyekengeuka.

Ata kama huyu bwana namchukia kwa Nguvu zangu zote ila suala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu.....Unamjua mfalme Sulemani mtoto wa Daudi alikuwa na wanawake wangapi na michepuko mingapi mkuu?
 
Wajinga ndio waliwao.

kuna wafuasi wake bado wanamtetea na kila jumapili wanampa sadaka.
 
Nmejikuta wakati flan nikitafakari sana matendo ya huyu anayejiita Mchungaji na kugundua ana mapepo na ni mtumishi wa shetani kabisa.

Kitendo cha kusema anamtafuta aliyesema wakristo waoe mke mmoja amhoji tayari anaonesha kuukana ukristo na kujihalalishia uzinzi.

Mungu angetaka adam awe na wake wengi angemtengenezea na mwingine.lakini hakufanya hivyo.kusudio la Mungu lilikuwa mke moja na mume mmoja. Kuhoji uhalali wa neno hilo tayari anaonesha ni mtu aliyekengeuka.

Ndugu huyu anayefahamika kwa majivuno na kiburi kinyume na matendo ya ukristo Yesu aliposema Mtu yeyote anayetaka kuwa mkubwa kwenu. Yampasa ajinyenyekeze na kujishusha kama mtoto mdogo.

Lusekelo ambaye ni juz juz tu alikumbwa na kashfa ya ulevi jambo ambalo ni aibu hata kwa mchungaj kusingiziwa. Bado hakuweza kujieleza akaelweka machoni pa watu wa Mungu.

Style yake ya mafundisho imejikita zaidi katika yeye kupokea sadaka na tunaona hata kwnye ibada anavyofurahia kutuzwa pesa. Na hapa ndipo ukristo unapozidi kujidhihilisha kuhusiana na siku za mwisho kutakuwepo na manabii na wa uongo na wachungaj wa aina ya lusekelo.

Haya ni mafundisho ya kishetani kabisa. Tamaa za mwili ndizo zinazoweza mkristo akahoji jambo kama hili.

Yesu anasema mwanaume atamwacha babaye na mamaye naye ataambatana na MKEWE na si WAKEZE. Mathayo 19:3-9

Ukina Mkristo anaanza kutaman yaliyo kwa shetan ujue tayar shetan ameshamkamata. Tuendako usishangae kusikia lusekelo anaruhusu waumini wake kuoa wake zaidi ya mmoja.

Kama hoja ya kidini, tena dini yenyewe kongwe yenye wabobezi wa kutosha, inapatiwa majibu myepesi kiasi hiki yasiyo na kina tena yanayojiegemeza ktk kuepuka hoja kisha kumtupia tuhuma nzito muulizaji BASI KAZI IPO...
 
Huyu anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia tena yaliyosababishwa na ' FAMILY ' problem. Huwa naamini asilimia kubwa ya yale ayanenayo mtu kwa kuwafundisha wengine yamemtokea. Mpaka afikirie mke wa pili , na series za tuhuma za kale kakinjwaji , inaonhesha kuna kitu chini ya carpet .
Huyu Mzee ndio maana hata mke wake hasali kanisani kwake miaka yote anasali kwa Rwakatare.Nadhani anajua tabia za mumewe na kuwa si Mtumishi wa Mungu bali ni tapeli na mfuasi wa Lucifer!Mungu awafumbue macho hao waumini wake maana wengi watapotezwa na huyu jamaa(Na hili ndilo lengo la Ibilisi).
 
Nahisi atakua kaumizwa na shemeji yetu siku za karibuni,ukichukua matamshi Haya na lile tukio LA ulevi unapata ni stress tu
 
Mimi ningemshauri Rais Magufuli na Serikali yake waanze kukusanya kodi kutoka kwenye sadaka zinazotolewa kwenye makanisa yote Tanzania. Kuanzia mwakani TRA waje na ubunifu ni jina gani wataiita aina hii ya kodi mpya. Kila sadaka inayokusanywa ikatwe kodi. Naamini Serikali itatengeneza pesa nyingi sana, sababu pesa wanazokusanya hawa wachungaji ni nyingi mno. Tazama akina Gwajima mpaka wananunua Helicopter! Serikali inapoteza sana mapato bila kujua.
Rais Magufuli kwenye makanisa kuna fursa.
 
Huyu anaonekana ana matatizo ya kisaikolojia tena yaliyosababishwa na ' FAMILY ' problem. Huwa naamini asilimia kubwa ya yale ayanenayo mtu kwa kuwafundisha wengine yamemtokea. Mpaka afikirie mke wa pili , na series za tuhuma za kale kakinjwaji , inaonhesha kuna kitu chini ya carpet .
Family problem...sure
 
Naamini haya ni mapito tu kwa Mzee wa Upako na yatapita tu....nahisi family problem its an issue here!!!! .lakini itapita maana imeandikwa mambo yote yatapita lakini Neno la Bwana litasimama ...majaribu katika wokovu ni kawaida sana..Mimi mwenyewe nimeokoka lakini nakumbuka mwaka 2015 nilipata majaribu kama haya lakini niliyashinda hadi hivi sasa bado nakiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana na Mwokozi wa maisha yangu...Amen
 
Back
Top Bottom