Recent content by Chineduchi

  1. Chineduchi

    Rais Samia: Tutaendeleza yale mazuri ya awamu ya 5

    Siwezi tupa neno lolote kwa mama ninaimani nae Sana
  2. Chineduchi

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Naandika hii thread nikiwa ninaakili timamu. nchi kwasasa inafuraha naamani tele,maisha ya binadamu nimafupi Sana chamsingi kama rais wa nchi naomba nchi yetu ifanye iwe yenye furaha naamani kama Rais wetu jk alivyoifanya. Misingi ya haki iwekipaumbele hatakama wewe ni mwanasiasa ukifanya vyema...
  3. Chineduchi

    Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Hivi ndugai spika wa bunge anahofu ya mungu kwel?. Samahani wadau nimewaza Sana hasa Sisi tunae tumia kula nyama ya ngurue 85% maranyingi akilizetu some time zinarogwa na akili za yule mdudu maana wala ngurue wengi ni wanafiki na wanaroho mbaya,onasasa. Marais wote mungu amewaita mapema na wale...
  4. Chineduchi

    Mfumo wa elimu na ukosefu wa ajira na madudu ya TAMISEMI

    Tatizo bado wana kariri nyakati
  5. Chineduchi

    Mfumo wa elimu na ukosefu wa ajira na madudu ya TAMISEMI

    Tanzania tanzania! Ewekwako waziri mwenye dhamana na Tamisemi kwa sasa nakuomba acha kufanya kazi kwa mihemuko yakutaka kumfuraisha aliye kuteua pasipo kusoma nyakati ya utawala. Mh. Rais wa sasa hataki mijisifa kama aliyekufundisha kusema ukweli usoni na sio moyoni. Nimekufuatilia hotuba zako...
  6. Chineduchi

    Kwako Mama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Waziri TAMISEMI

    Ngoja tuone impact maana ile zama!!!
  7. Chineduchi

    Kwako Mama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Waziri TAMISEMI

    Nikwel ila hata JK alikuwa CCM lkn tulienjoy maisha, ishu sio chama hata chadema kunanini jipya kule wamejaa wachumia tumbo tu, nawanaharakati
  8. Chineduchi

    Kwako Mama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Waziri TAMISEMI

    Kweli wapo wale wakuvaa soksi kichwani ili tu waonekane wema machoni lakini nichui
  9. Chineduchi

    Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

    Nchi lazima iwe nakiongozi mwenye mtazamo na misimamoyake tusikariri nyakati mh. Hayati kafanya yake na mama nate anamsimamo wake
  10. Chineduchi

    Kwako Mama Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Waziri TAMISEMI

    Kwanza naomba nikupongeze kwakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumteua Waziri mpya TAMISEMI najua uchapaji wake kazi sio wa kitoto. Naomba mama ikikupendeza tendea haki uhamisho wa watumishi waliokamilisha uhamisho na kusubiri vibali kutoka tamisemi, maana kuna màmbo ambayo sio...
Back
Top Bottom