Recent content by chinaguy

  1. C

    JamiiForums Nauza Suzuki Carry, Used 5.6m

    Kula m 3 hapo nikuletee kesho asubuhi
  2. C

    JamiiForums Wanunuzi wa magari mabovu kama skrepa

    Nitumie namba yako mkuu tufanye biashara
  3. C

    JamiiForums NAUZA: Water-Pump na pipes zake, kwa bei chee! (used)

    Ni text kwa hii namba mkuu 0765094838
  4. C

    JamiiForums ANAHITAJIKA KIJANA WA KAZI

    Anahitajika kijana wa kazi za shambani. Awe ni kijana mchapakazi na awe wa kiume umri usiozidi miaka 20. Na awe ni mkazi wa mikoa ya Arusha ama Kilimanjaro. Kama una ndugu yako au mdogo wako ama jirani yako unaweza ukani pm. Malipo ni makubaliano!!! Ni hayo tu!!! Asanteni!!!!!
  5. C

    JamiiForums Huu mkataba wa kazi niusaini au niuache?

    Nikushauri usisaini, mm mwenyewe hapa nipo Private ila mda wowote naweza chomoka niende serikalini mwezi wa 7. Bora usubiri kwenda serikalini kuliko usaini private, kuja kuvunja mkataba nako ni ishu sanaaaa!!!!!
  6. C

    JamiiForums Chumba cha kupanga kinahitajika Sakina,Arusha

    Ni pm no yako nikuelekeze kama bado hujapata
Back
Top Bottom