Salaamu kwenu wana-JF wote.
Kama tittle ya uzi inavyojieleza, nauza vitu hivyo kwa bei cheeee kabisa! Bei ya 'mzigo utoke fasta'. Ni mali yangu halali.
A) Mashine ya kumwagilia. Wazungu wanaiita 'Water Pump'. Ni honda ya mchina. Ni inchi 3, yenye uwezo wa kusukuma maji mpaka mita 200 horizontally, with high pressure. Ulaji wa mafuta ni very economy, yaani 'inanusa' tu kama vijana wa mjini wasemavyo. FUEL: Petrol.
View attachment 647820
View attachment 647822View attachment 647823
View attachment 647829View attachment 647833
B) Pipe ya kuvuta/kuleta maji. Ina mita 6...
View attachment 647864
C) Pipe ya kutoa/kupeleka maji (delivery pipe). Mpya kabisa bado haijatumika, mita 80. Kipande kingine cha mita 20 ambacho nilikata na ndicho kilikuwa kinatumika...
MITA 80. Bado mpya. Haijatumika :
View attachment 647881
MITA 20. Imetumika :
View attachment 647891
...................................................
PICHA ya vitu vyote kwa pamoja :
View attachment 647912
..................................................
PICHA nyongeza :
View attachment 647943
...................................................
RISITI ipo. Mashine haina hitilafu (technical defect) yoyote tangu kununuliwa. Mashine imetumika kwa muda wa miezi mitano tu, kwa umwagiliaji mwepesi wa mara mbili kwa week. Vitu bado vipo katika hali nzuri sana, mnunuzi hautajuta hata kidogo. Service kwa wakati, na utunzaji.
Nauza vyote (
A,
B,
C) kwa pamoja.
BEI ni
Tsh 370,000 (Laki tatu na elfu sabini) vitu vyote vitatu. Mazungumzo yapo for discount.
LOCATION: Vifaa vipo Dar, kata ya Toangoma, mtaa wa Vikunai.
Jinsi ya kufika:
===> Kama unapitia Mbagala, shuka kituo Zakiem. Kisha panda daladala za kwenda Vikunai.
===> Kama unapitia Kigamboni, panda gari mpaka Mikwambe. Kisha panda bajaji (nauli Tsh
500) mpaka majengo ya NSSF na NHC. Kisha panda bodaboda (Tsh 1,000) kwenda mtaa
wa Vikunai.
Kwa mawasiliano, karibu PM. Serious buyers only.
Sababu ya kuuza: Shida binafsi... maisha tu. Diversity in struggles.
Mimi ni mtu mwaminifu. Mwaka huu mwanzoni pia niliuza vitu vyangu vingine kupitia hapa hapa JF:
INAUZWA - Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv
Karibuni. Natanguliza shukrani.