Makamba na sakata la Viroba simuelewi.
Nape na sakata la kutetea brand kwa waharifu simuelewi.
Kigwangala na sakata la kutangaza mashoga.
Mwigulu na sakata la miili saba ilookotwa mtoni na kuzikwa kinyemela simuelewi
Mwigulu na ukimya wake vita zidi ya dawa za kulevya simuelewi. Ndalichako...
Kweli kabisa kwa kubana matumizi huyu jamaa yuko sawa ila issue ya creativity watumishi wengi wa serikali yake hiyo kitu hawana hasa linapokuja suala la kubuni miradi endelevu ya uzalishaji ili kuongeza mapato ya halmashauri au taasisi wanazoziongoza utakuta wanawaza kuongeza tozo na utitiri wa...
Kweli kabisa kama ni kubana matumizi huyu ni kiboko lkn kwenye issue ya creativity watumishi wengi wa serikali yake hiyo kitu hawana hasa linapokuja suala la kubuni miradi endelevu ya uzalishaji ili kuongeza mapato ya halmashauri au taasisi wanazoziongoza utakuta wanawaza kuongeza tozo na...
Kwa akili ya kawaida ulitaka ukimbie kuita watu umbali wa km 7 na umkute rafiki yako akiwa hai? Watu wote walokulia vjjn ktk mazingira ya mapori huwa wanapewa mbinu za kujihami inapotokea kushambiliwa na wanyama ama viumbe hatari wa mazingira husika. Sasa wewe hukuwa hata umeambiwa kuwa chatu...
Imetokea tu bahati mbaya hili janga la tetemeko limetokea kipindi hiki ametoa 6 million lkn kama janga hili lingetokea kipindi cha uchaguzi hakika ungejua jinsi huyu mzee anavyoguswa na shida za watanzania kwa uchache hapo angetoa 500 million
Hauko serious mkuu huwezi nunua bidhaa ya 2m harafu ukapewa receipt ya laki 3 ukaridhika eti kisa umetukanwa? Swali la kwanza hyo bidhaa ilkuwa inapatkana duka hilo peke yake kwamba usingeweza kuipata duka jingine? Kama ndivyo ulishindwa kutoa taarifa police juu ya wizi huo? Maana we ndiye...
Kuna wakati inapaswa watu tuchukue hatua mapema kuzuia uharibifu kutokea.Hivi mtu anapigwa mpaka anakufa wewe unaangalia tu hutoi msaada wa aina yoyote hata kupiga yowe badala yake upo busy kupiga picha urushe mitandaoni huu ni uungwana kweli? Sasa unapopost picha hzo nafsi haioni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.