Recent content by chimos de milingo

  1. chimos de milingo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Fhika, Nzuki, Chogelo na kutengua uteuzi wa Kafulila, na Sophia Mjema Ole Sendeka na Katambi

    Labda yy mwenyewe mkuu ndio amesababisha haya...wateuliwa wanajifeel insecure,..kasi yake ya kutumbua ukifanya mistake kidogo imewafanya wateule watafute pa kutokea ,wanajua kwenye ubunge hakuna stress za kutumbuliwa kwa at least miaka 5,..maisha ya kila mkuu akiwa na press na media ,ww roho juu...
  2. chimos de milingo

    JamiiForums Tanzania Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Msimu wa korosho 2018/2019 tulishauriana na jamaa angu mmoja kununua korosho kwa mfumo wa 'kangomba' then tuziuze kwa wanunuzi wakubwa ..yy aliwahi kufanya hivyo miaka miwili kabla na ilimlipa..nikaweka 4m ,tukanunua fresh kupitia kwa jamaa ambaye yupo huko na mzigo ukapelekwa ghalani..picha...
  3. chimos de milingo

    JamiiForums Tanzania Kupendwa sana na mtu usiyempenda

    Mapenz ni hisia mkuu...kama hazipo usilazimishe ,fikiria kuoa mtu ambaye akikupigia simu au kukutext unaona kero...kama sasa hvi huna hisia naye yakishaingia mazoea si ndio kabisa atakuchosha...matokeo yake kazin unatoka saa kumi home unaingia saa nne usiku ili tu umkute amesinzia ....hata watu...
  4. chimos de milingo

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

    One day natoka kariakoo kwenda mbagala , daladala imesimama fresh napanda nipo mlangoni nyuma yangu kuna dada mmoja naye akapanda kabla sijaingia vizuri ,dereva akasogeza gari mbele kidogo yule dada akakosa balance na sehemu pekee ya haraka ya kushika ni mimi niliyekaribu yake akashika shati...
Back
Top Bottom