Recent content by chilundulu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya Whitedent na Colgate ipi dawa iliyo bora

    Mm binafsi natumia mswaki wa mti but no dawa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ya nne inataka kumwachia mzigo mkubwa serikali ya tano

    Ili aonekane yy alikua bora
  3. C

    JamiiForums Tanzania Simbachawene, una habari ya huu uozo?

    Hayo magumashi sio huko 2 ngoma TANESCO UKONGA toka mwezi 12 mwaka jana hawana nywaya mpaka sasa TANESCO ni moja ya idara zenye matizo kiutendaji, mfumo na kiubunifu naishauli selikali ifanye kama TTCL wakalibishe ushindani wa kiutendaji
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Mashine za EFD ni uonevu

    TRA wanapaswa kujipanga mm binafsi nililipia roadrecense ya gari yangu kwa njia ya simu lakini kuchukua stika ilinichukua siku sita nilikua nafika saa nne mpaka saa tisa kwa siku zote hizo TRA mjilekebishe bhana
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Mashine za EFD ni uonevu

    Kila mwaka selikali inavuka lengo la ukusanyaji wa kodi, pamoja na misamaha ya kodi kwa makampuni makubwa ya wajanja wachache. Nashindwa kuelewa mfumo huu ambao hata tafiti haikufanywa kama utaleta mafanikio au katika nchi gani ulileta mafanikio,? ''TRA WAKAJIBU KUWA TANZANIA NDIO NCHI YA KWANZA...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Awekewa mikono ya mtu mwingine India

    vp zakali inawezekana
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sista Mtawa ajifungua mtoto wa kiume akiwa utawani

    kuna haja ya kanisa Catholic kubabadili sera za kanisa hilo kwa,kiasi kikubwa maana hata mapadri wao nao baadhi wana watoto.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tamko dhidi ya Ramli ni unafiki mkubwa wa Serikali

    unatumwa kwenda
  9. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

    Sio bule huyu mtikila atakua na matatizo kidogo
  10. C

    JamiiForums Tanzania TICTS yamuondoa Dr. Mwakyembe uchukuzi!

    jamani kkoo kimenuka mgomo wa wafanyabiashala
  11. C

    JamiiForums Tanzania TICTS yamuondoa Dr. Mwakyembe uchukuzi!

    Liz ban wa home shopping amemlalamikia dingi mikontena ina kwamishwa na mwakyembe
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Arusha- Pick Up na Toyo kubeba Abiria

    mpaka watu wagome ndio washughulikie tatizo lao., acheni hizo bwana
  13. C

    JamiiForums Tanzania Siku hizi soda za Coca Cola zina majina ya watu

    jamani naomba mniangalizie la MAZENGO au MATIKA
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kwanini vichaa hawaugui ovyo?

    kuna chiz mmoja kitunda anaitwa Ally anamiaka minne hajawahi kuumwa hata mafua
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ufisadi: Walimu wakuu shule za kata wengi sio wakweli

    acha wajipigie hela 2 hao wakina nani wa escrow wamechota na mpaka ss wanadunda na mashangingi ya selikali
Back
Top Bottom