Recent content by chilleboy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kauli ya Rais "Kufyatua watoto" ilikuwa ni utani, Sera ya Taifa ni uzazi wa Mpango

    Kumbe siku hizi kuna utani. Kwahiyo Serikali ya viwanda ni utani eh.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Kauli ya Rais "Kufyatua watoto" ilikuwa ni utani, Sera ya Taifa ni uzazi wa Mpango

    Yaani hawa ccm ni wasengerema pure
  3. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa mkoa wa Dar: Vijana epukeni UKUTA, kushiriki UKUTA ni dhambi mbele za Mungu

    Katika majanga ya taifa huyu jamaa ni janga kubwa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Fursa Mwanza: Uwezo wa vijana kufikiri umepungua?

    Unadhani pale palikuwa na fursa, kulikuwa na siasi za Maji taka. Na wajinga vijana walienda kupewa ticket za fiesta.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Fursa 2016 by Clouds Media ile ilikua ni siasa

    Hao Clouds ni wajinga mnoooooo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtangazaji Anna Mwasyoke wa TBC1 anapenda kukenua kenua hadi anaboa?

    Hivi TBC1 bado ipo nilishasahau bora niangalie Tom and Jerry
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ile issue ya kilimo kwanza iliishiaga wapi?

    Ule mchakato wa kilimo kwanza ulienda wapi ndugu Zangu au tulidanganywa mazombi sisi!!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania! Nchi inayootewa kuwa ya Viwanda

    Aise nitakufa kwa kucheka. Watalii hawana haja ya kwenda bungani wanakuja kutuangalia sisi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wapinzani wanaoenda kumuona Spika ni wanafiki, wanamchonganisha na Naibu Spika

    Majitu mengine bhana hivi huyu lusinde akili zipo kweli? Kwa hiyo katoka jimboni kwake na ujinga kama huu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

    Mkuu wenu alishasema hataki kuona mizigo na wasilete. Endeleeni hivyo Hivyo na uchwara wenu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya miezi miwili kuhusu ajira imeisha, tunasubiria chenga ya pili

    Nchi imepotea achana na ajira za Serikali, tufanye mambo mengine tu tukisubili Sana tutapoteza mda jamani
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie mnakera, kwanini hambadiliki?

    Hivi kumbe bongo movie ipo nilishasahau kuangalia!!!!!!
  13. C

    JamiiForums Tanzania ITV na Wosia wa Baba wa Taifa

    ITV wazuri sana hayo ni maneno ya mwalimu wala si ITV, asante kwa kuwakumbusha madikteta
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ukitoka Dar asubuhi unaingia Bunda saa ngapi?

    Hiyo kesho asubuhi kwasabau mwanza saa tano hivi, mnatalala pale then kesho Safari inaanza
Back
Top Bottom