Recent content by chilima

  1. C

    Kutoka Mtwara katika Picha

    Ni kweli kabisa fursa zipo nyingi sana, kilimo ,uvuvi,na biashara nyingine nyingi tu. Tatizo kubwa bado liko kwenye usafiri, mabasi ni mengi sasa hivi lakini hakuna bei maalumu ya nauli kwani zimekuwa zikibadilika badilika sana sijui hawa sumatra wanafanya nini
  2. C

    Mh Mpendazoe afiwa na mkewe Rosemary

    Pole sana Mhe. kwa kufiwa na mwenzi wako, lakini yote ni mapenzi ya bwana. Raha ya milele umpe ee bwana, na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani " Amina"
  3. C

    Lowassa vs Sumaye

    Kama ni suala la kuwalinganisha hawa wawili, ni bora Mhe. FS kuliko EL kwa sababu ufisadi wa FS tulio wengi tuna usikia tu na hata sijui kama ana mali za kutisha sna kama huyo Mhe. EL.Kwa kipindi hiki ambacho FS amekaa nje ya system angekuwa ameonekana kama angekuwa na mali nyingi.
  4. C

    Kamati ya Mzee Mwinyi kumkabili Spika Sitta

    Hizi kamati luluki ambazo zimekuwa zikiundwa mbona huwa hatuoni matokeo ya utekelezaji wake zaidi ya kuendelea kutumia pesa nyingi ambazo zingesaidia shughuli nyingine za kijamii. Hata hii kamati ya mzee ruksa nina imani itafanya kazi nzuri lakini sitegemei kuona matokeo yaliyokusudiwa.Na huko...
  5. C

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Hiyo mipango thabiti ilikuwepo tangu lini, au mheshimiwa waziri alikuwa anasubiri mpaka bwana Zito / wananchi waseme ndipo naye aseme? mimi nafikiri hii kazi imemshinda ni vizuri akawapisha wengine pengine watakuwa na mipango endelevu ya kuinusuru nchi.
  6. C

    Hivi Rais Karume Ana Aleji na Sherehe Zihusuzo JMT?

    Wacha chuki binafsi na kanisa katoliki,changia hoja iliyopo la kama huna hoja acha. Karume hataki unafiki kama wa viongozi wengi wa bara ambao kila siku wanahubiri kumuenzi baba wa taifa kwa mazuri aliyoyafanya huku wakifanya kinyume.
  7. C

    Utambulisho

    Haloo great thinkers, Nafurahi kuungana nanyi kwenye hii forum ili tuendeleze majukumu ya kujenga jamii yetu pamoja. Naomba mnipokee.
  8. C

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Sio muda wakupiga porojo tu kwenye majukwaa, watanzania wanataka kuona action zinachukuliwa ili kunusuru nchi kutokana na janga hili.
Back
Top Bottom