Familia ya Karume na Mwalimu hazijawahi kuwa karibu tangu alipouwawa mzee Abeid Amani Karume. Wanadhani Mwalimu aliwakingia kifua "wauaji" wa Mzee wao na wengine akawapa vyeo vikubwa tu.
Wacha Bwana! Tangu lini Karume akawa na uhusiano mzuri na Mkapa na kama si Karume Kikwete angekuwa madarakani. Ukweli ni kuwa uhuru wa Karume unaingiliwa na hilo halipendi na anaonyesha kwa vitendo.
Angalau umejaribu kufikia karibu ya ukweli. Nadhani inahusiana na Mr X
What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
Mkuu mawazo yako ni ya mtu aliyeishiwa credit,jaribu kujaza na vocha nyingine!!The point here is, Karume Srn. kapindua na ameuwawa madarakani na tukihisabu alioyafanya mazuri kwa Znz ni mengi kuliko alioyafanya Nyerere bara. Basi kwa nini Karume hakumbukwi kwa gharama za serikali kila miaka kumi? Ni Upuuzi na Ujinga kutoka watu Znz kwenda butiama kwa kumbukumbu za Nyerere alokua na dhamira ya kuimeza Znz na kua mkoa wa Bara. Ameshindwa sasa kamwachia wasia mwanawe Pinda kuendeleza, nae atashindwa tu.
..katika watu wavivu duniani huyu ni na moja.........lol
Kaka kama hukuwepo katika mchakato wa 2005 ngoja tukupe mwanga Karume alikuwa katika lile kundi la kina mkapa lilikuwa linataka malecela awe rais. Ikachezeshwa rafu malecela akawa hajapita. Since then jamaa na Kikwete hawaivi. Na pia Karume bado ana nongwa kwasababu jamaa hamfagilii kabisa. Mfano BOT nilisikiaga alitaka mwanae awe naibu gavana ikawa inapigwa chini jamaa wa mchakato hawamtaki na mzee juu alikuwa hamtaki maana atamuharibia kazi. Kiufupi jamaa anasubiri muda wake uishe aondoke hivyo basi hajali
The point here is, Karume Srn. kapindua na ameuwawa madarakani na tukihisabu alioyafanya mazuri kwa Znz ni mengi kuliko alioyafanya Nyerere bara. Basi kwa nini Karume hakumbukwi kwa gharama za serikali kila miaka kumi? Ni Upuuzi na Ujinga kutoka watu Znz kwenda butiama kwa kumbukumbu za Nyerere alokua na dhamira ya kuimeza Znz na kua mkoa wa Bara. Ameshindwa sasa kamwachia wasia mwanawe Pinda kuendeleza, nae atashindwa tu.
makubwa papokwapapo umenichekesha
Wacha chuki binafsi na kanisa katoliki,changia hoja iliyopo la kama huna hoja acha.What is so "special" with mwalimu....blah blah tu na kusifia ...wenye busara walishaachana namkusifia failure....hiyo kazi ya kumsifia waachieni "Kanisa katoliki"
Wacha chuki binafsi na kanisa katoliki,changia hoja iliyopo la kama huna hoja acha.
Karume hataki unafiki kama wa viongozi wengi wa bara ambao kila siku wanahubiri kumuenzi baba wa taifa kwa mazuri aliyoyafanya huku wakifanya kinyume.
Una uhakika picha aliyoweka ni ya kwake? Kaaaaaaazi kweli kweli!
nauliza suali kama alilouliza mwenzangu kabla. hivi kwanini serikali ya muungano haiadhimishi siku ya kufa karume? kumbukeni kwamba waliolianzisha taifa la tanzania ni wawili na sio mmoja.