Mbuzi wangu anasumbuliwa na kidonda kikubwa sehemu ya tumbo. Kina wiki sasa. Mara ya mwisho alikuja daktari akamsafisha na hydrogen peroxide, akamshona na kuacha sehemu wazi ya kupitisha hewa..kisha akamchoma sindano ya antibiotic na kuacha dawa moja ya kuspray....lakini hadi leo ni wiki moja...
Petro E. Mselewa, Mtendaji wa kaya, Skillionare, Rola, Mushobozi, Skilionare, Dangote the advocate, Bikra, Mtambuzi, Gaijin, Mwita Maranya, suluta, othuman dan fodio, Amos Enock, stroke
Wadau, Habari za leo.
Mimi ni mfugaji wa samaki, tayari nina mabwawa matatu ya samaki na nimeshaweka vifaranga vya samaki ambavyo vina miezi minne. mabwawa yangu ni makubwa na mazuri sana. changamoto ninayokutana nayo ni namna ya kupata chakula cha kuwalisha hawa samaki/ Hivyo naomba kupata mtu...
Kwa upekee kabisa nakupa big up sana. naomba na mimi uwe una nitag nitafurahi na nitakuombea pia. halafu naomba kama ikikupendeza unipeleke kabisa kwenye group la whatssap... hapa PM inahusika kwa namba. Asante
hakuna mahali hapa nimeku offend mkuu, na sijawahi kuwa mtovu wa nidhamu kwa kiasi hicho, na nimekuwa mtu wa kukumbuka nilikitoka nami nimekuwa nikifanya hivyo kwa wale wenye shida. naheshimu sana mchango wa kila mtu aliyenisaidia. LAKINI sidhani kama msaada wako uliutoa kama fimbo ya kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.