Kutoka kwa mshahara mapema si kwamba ni raha ni mateso tu kama huna kitu kingine cha kukuingizia hela. Bado Siku ngapi kama kweli umetoka Leo ili mwezi uishe? Siku kumi kwa mishahara ya JK ni nyingi sana ( kwa maana hatujawahi kuona mishara ya JPM) ukilinganisha na maisha ya sasa. Anyway wenye...
Bora kuwa mkorofi kwenye ukweli, bora kufa na Mawazo straight sio kuwa na akili za mtindi kama zako. Mbona Hata Mkulu alikuja na baba yake toka kwa kagame akiwa tayari kazaliwa au umemuona bashe tu
Hakuna jambo lisilokuwa na mwisho, najua mwisho utafika tu CCM will be out. Mbinu ulitumia kuwanyamazisha uliosema wanakiuka ndo mbinu itakayotumika ili kukuongoza wewe. Naamini kuna siku hii nchi itaongozwa na upinzani tu. So sheria zote kandamizi na zisizokandamizi waje waziendeleze tu at...
Sikupenda kabisa kwa majibu yake. Kwa mfano alipotoa siku saba wawe wamelipa kodi wale wote wahusika wa makontena kulikuwa na ugumu gani kusema wamelipa au bado, kwa TRA suala kama hili lazima watakuwa wanampa taarifa kinachoendelea. Jibu lake la kusema kawaulize TRA lilinipa wasiwasi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.