Recent content by chikurukutu

  1. C

    JamiiForums Tanzania Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

    M Ni kweli kabisa mkuu..
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Hii ni tamu lakini chungu kumeza
  3. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

    Hata mimi nawashangaa wanavyohaha kumsifia
  4. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

    "Kuendeleza wazawa ndiyo dili nzuri kisiasa" sijakuelewa hapo, siyo kwa maendeleo ya taifa na kuinua uchumi wa mtanzania? Kumbe ni kufanya mtaji wa kisiasa kwa ajili ya 2020..!! Poleni sana Lumumba.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Nyie watu mnaotumikia serikali ya awamu hii mna shida kweli, hainingii akilini eti kushindwa kufanya kazi kwa weledi ni kwa sababu mnahujumiwa na magazeti. Kweli mwandishi wa gazeti ndo aisumbue serikali nzima ishindwe kufanya kazi kisa wakenya wanawahujumu.?? Kama mmeshindwa kufanya kazi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Leo limekuwa gazeti la Kenya!!!!! Mbona limesajiliwa tz, kama ni hivyo wangelifungia basi. Serikali haihujumiwi na mtu wa taasisi yoyote bali inajihujumu yenyewe. Viongozi wake wamejaa unafiki mwingi , uoga na hawapo huru kufanya maamuzi kwa mujibu wa mamlaka waliyopewa na sheria zinazongoza...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mbowe aunguruma Ukerewe leo Ijumaa 13/1/2017

    Hater
  8. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jifunze ustarabu wa Rais wa Zanzibar Shein, hotuba za Shein zimetulia

    Ni hotuba za kulalamika na kulipiza kisasi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dr. Valentino Mokiwa avuliwa uaskofu

    Kuongoza kanisa si sawa na kuongoza nchi. Tunajisahau tunapoifanya kazi ya Mungu na kutaka kufananisha na kazi nyingine za kidunia. Kazi ya Mungu inabidi iheshimiwe kila kukicha na katika kuifanya hiyo kazi misingi ya ki Mungu inapaswa kuzingatiwa. Na isichanganywe na mamlaka nyingine za...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, December daraja halikuisha na Mhandisi hajajinyonga...

    Kwani kutumbua ndo njia sahihi ya kutimiza ahadi na matamko yake yasiyotekelezeka??
  11. C

    JamiiForums Tanzania Utani mwingine bana

    Hahahaha
  12. C

    JamiiForums Tanzania Edward Ngoyai Lowasa ndie Mwanasiasa mwenye siasa safi

    Huyo mzee ni POLITICAL LEGEND wa tz
  13. C

    JamiiForums Tanzania Apewa makavu na mmiliki wa FaceBook

    Hahaha
Back
Top Bottom