Edward Ngoyai Lowasa ndie Mwanasiasa mwenye siasa safi

Kikubwa alicho nacho Lowassa ni "HEKIMA"

Mfalme suleiman alipata utajiri wooooote duniani na ufahari wa mali na wanawake zaidi ya 300 ILA
Biblia inasema Suleman alimwomba Mungu kitu kimoja tu yaani "HEKIMA" au "WISDOM"

E. Lowassa hawezi kuwaita binadamu "Maskini na Malofa"
 
Edward Ngoyai Lowasa ,ni mwana siasa anaye fanya siasa kwa utulivu
1:ajui kutukana wala kumtukana mtu
2:ajui kujibu matusi na mashambulizi kama kejeli na matusi
3:atukani viongozi waliopo madarakani
4:atoi lugha za uchochezi
5:ajui kukejeli
6:mvumilivu wa kisiasa
nb yupo smart aya n maoni yangu

Malizia: 7; upinzani wake wakweli ulikuwa ndani ya ccm tu, mara alipohamia upinzani amedhohofu sana kisiasa. Nina shaka kitendo Sitaoa kuwekwa sero kimemfanya huyu mwanasiasa nguli kuacha siasa za upinzani. Kadhalika kitendo cha Bilkanaz kudaiwa na serikali kimefanya wapizani walegee mno. Haileti maana kipindi cha JK kiwe na upinzani mkali kuliko kipindi hiki chenye kila aina ya malalamiko kutoka kona zote za nchi.
 
nakuunga mkono. Lowasa is a man of the people. hata ccm wanalitambua hilo lakini uchama umewajaa
 
Kwa namna alivyo waibia watanzania kweli huyu jamaa ni smart kwelikweli. Jamaa ni fisadi wakutupwa lakini kuna watu walikua wakideki barabara ili apite kama mfalme.
 
Hilo halina ubishi. Watabisha ccm ambao ndo wachawi wa hii nchi isiendelee kwa kuwa wafisadi na wabinafsi wa raslimali za nchi
 
Nyie watu wanafiki sana alipokuwa upande wa pili kila aina ya matusi mlimtukana leo yuko upande wenu kawa mtakatifu
 
Edward Ngoyai Lowasa ,ni mwana siasa anaye fanya siasa kwa utulivu

1:hajui kutukana wala kumtukana mtu

2 Hajui kujibu matusi na mashambulizi kama kejeli na matusi

3 Hatukani viongozi waliopo madarakani

4 Hatoi lugha za uchochezi

5 Hajui kukejeli

6 Mvumilivu wa kisiasa

NB: Yupo smart haya ni maoni yangu
Kweli ni maoni yako tunayaheshimu hata kama hatuyakubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom