Recent content by chikub

  1. C

    Kosa la UKAWA lililowagharimu

    Hili nalo sikubaliani nalo, maana huko nyuma walishawahi kuwasimika akina Lipumba, Mrema, Mbowe, Slaa. Maalim bado yuko njia panda baada ya uchaguzi kufutwa na Jecha. Maana yake alivyopatikana Jecha na Lubuva ndio kiini cha tatizo na sio Lowassa.
  2. C

    Kosa la UKAWA lililowagharimu

    Kama hawa jamaa sio mambumbumbu wa kisiasa basi ndani yao wamejaa mamluki kibao. Huwezi kung'ang'ania serikali 3 kwenye katiba na kusahau nyenzo muhimu za uchaguzi kwanza kwenye uchaguzi. Bora wangeenda kidogokidogo kuelekea kule wanakotamani kufika
  3. C

    Kosa la UKAWA lililowagharimu

    Nikuwa naongea na mkazi mmoja wa Arusha mfuasi wa CCM mwezi mmoja uliopita kuhusiana na uchaguzi wa ubunge ulioahirishwa, akasema yeye shida yake ilikuwa Magufuli tu kwakuwa ameshapata urais basi hatakwenda kupiga kura kuchagua mbunge wa CCM.
  4. C

    Kosa la UKAWA lililowagharimu

    UKAWA walikosesea kudai katiba mpya ya Warioba badala ya kudai katiba yenye vipengele muhimu tu kwao. UKAWA ingezingatia tu vipengele vya katiba mpya vinavyohusika na uchaguzi kama vile tume huru, madaraka ya rais, uhuru wa binadamu, kuhoji matokeo mahakamani, n.k, mbele ya safari ndo...
  5. C

    Tanzania ya Magufuli safi, lakini...

    Magufuli amezikonga nyoyo zetu lakini atazingonga zaidi kama atatengeneza katiba ambayo kila jambo zuri kwa nchi linazaliwa ndani ya katiba na kila jambo baya kwa nchi linazuiliwa ndani ya katiba. Hatutegemei kwa miaka 5 ya Magufuli ataweza kurekebisha nchi iliyoharibiwa na chama chake kwa miaka...
  6. C

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Tatizo ni katiba na utekelezaji wake. Katiba tuliyonayo ni mbovu sana, kwa katiba hii hata kama urais tukimkabidhi Angel Merkel hali zetu zitabaki zilezile tu.
  7. C

    Jakaya Mrisho Kikwete aongoza kikao cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya taifa CCM

    Kasema hajachangiwa na hata mfanyabiashara mmoja, lakini hakusema pia nani alitoa pesa zote zilizotumika wakati wa kampeni zake.
  8. C

    Kumbe hata bila ya Mawaziri Nchi inaenda

    Tanzania ni ya watanzania hata kama watanzania wenyewe ni mbumbumbu na wakora. Ndo maana tunasema katiba ambayo inampa nguvu kubwa Rais ya kuweza hata kuendesha nchi bila kuwa na mawaziri haitufai kabisa. Nguvu hizi ni kubwa sana hasa mkimpata kiongozi asiyekuwa na maadili. Tunaomba baraza la...
  9. C

    Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    Waache tu maana hao ndo wanatuletea tooth pick na simu feki kutoka china, hawana adabu.
  10. C

    Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    Bora muache tu biashara, maana nyie wenye mitaji midogo ndo mnatuletea bidhaa kutoka China zisizokuwa na ubora kwa kisingizio cha mtaji mdogo. Nawachukia watu wanaoagiza nchini bidhaa bofubofu.
  11. C

    Upinzani unakufa au CCM kinakufa?

    CCM ni Magufuli na Magufuli ndo CCM kwasasa. Aliyeshinda uchaguzi ni Magufuli sio CCM. CCM halisi kwa sasa ni akina Lukuvi, Makamba Sn, Kinana, Nape, Mangula, Butiku, Mwigulu, Chenge, Karamagi, Diallo, na wazee Mwinyi, Mkapa na Kikwete ambao wameshindwa kuzikonga nyoto za watanzania hadi...
  12. C

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Bandari ilikuwa chini ya akina Sitta na Mwakyembe kwa muda mrefu kwa nyakati tofauti kiasi cha kushindwa kuwatenganisha watu hawa na ubadhilifu, wizi na ufisadi unaobainika sasa chini ya rais Dr. Magufuli. Jamii itashindwa kuwaelewa Magufuli na Majaliwa kama baraza lao litawajumuisha Sita na...
  13. C

    Tunafunga milango ya rushwa ni kufungua milango ya ujambazi

    Wanakurupuka tu hawasomi mada. Kila jambo lina uzuri na ubaya (opportunity cost) ni jukumu lako kuchukua tahadhari, usichukuliwe na mihemko tu, fanya uchambuzi
  14. C

    Tunafunga milango ya rushwa ni kufungua milango ya ujambazi

    Hela iliyookolewa hapo isipomuwezesha mwananchi wa kijijini kupata milo angalau 2 kwa siku itakuwa haina maana kwao. Maana hata kwenye hizo safari watu walikuwa wanapata posho ambazo wakirudi nyumbani wanazitumia kwa kulipia ada za watoto wao na pengine kutoa ajira kwa vijana kwa njia ya...
  15. C

    Makontena 9 yakamatwa eneo la Mbezi Beach, Tangi Bovu

    Kuyapata makontena yalipo ni muhimu, nani ajuae, inawezekana yana shehena za silaha kali kwenda kwa al-qaeda na al-shabab
Back
Top Bottom