Recent content by Chikawe Jr

  1. C

    Kuzidi kuchelewa kwa Dreva wa Tundu Lissu kuitikia wito wa RPC Muroto unaleta ukakasi!!!

    Kama chadema wasingemficha Dereva upelelezi wa shambulio la LISU ungekuwa umekamilika kwa 90%. Lakini kitendo cha cha Mbowe Kumficha Dereva na kuendeleza siasa juu ya matukio ya namna hii hatuwezi kukamilisha upelelezi kwa wakati. Mwanzo wametangaza LISU anawajuwa waliomshambulia, anasubiri...
  2. C

    Freeman Mbowe umesikitisha watanzania na unapaswa kupingwa na kila mtu

    NA. Juma George Kumekuwa na tabia za ajabu za baadhi ya VIONGOZI wa kisiasa kuona wanaishi ulimwengu wao wa pekee kuliko watu wengine nchini. Tabia hii imeshika kasi na sasa wanakusudia kutugawa kama taifa tuanze kujiweka katika makundi makundi jambo ambalo tunapaswa kulipinga kwa nguvu zote...
  3. C

    Kuamia kwa mafisadi CHADEMA, kijana shtuka chukua hatua!

    Na juma george Kwa kipindi kirefu chadema wamekuwa wakiwadanganya watanzania kuwa wao ni chama cha kutetea wanyonge nchini, na kwamba wamejikita hasa kutetea haki na utu wa mtanzania kupitia harakati za kisiasa. Huu ndio ulikuwa ushawishi wao mkubwa kwa vijana ambao walikuwa wanaonyesha...
  4. C

    Zitto, utasaliti nchi yako mpaka lini?

    Na Juma George Tanzania ni mali yetu, kuipenda na kuijenga ni wajibu wa kila mmoja wetu. Huu ndio ulikuwa msimamo wa wazee wetu walioipigania na kuikomboa nchi hii kutoka katika mikono dhaIimu ya Mkoloni. Kauli mbiu hii ilishika kasi hasa baada ya mapinduzi ya utawala wa Kikoloni mwaka 1961...
  5. C

    Kwanini namtetea na kumuunga mkono rais Magufuli?

    Na: Juma George Sio kazi rahisi kuhimili mashambulizi ya wapinzani iwe nje au ndani pale unapoonyesha waziwazi kukipenda Chama Cha Mapinduzi au Kumuunga mkono Rais Magufuli. Unahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana kuyapokea matusi na kejeli usiku na mchana tena wakati mwingine yakitokea upande...
  6. C

    Agenda ya Katiba mpya haipaswi kubebwa na mikono michafu ni najisi?

    Anaandika: Juma George Nimejaribu kufanya utafiti juu ya hoja ya KATIBA iliyozungumzwa na baadhi ya watanzania (Wanasiasa na Wasio-wanasiasa), kwa muda wa wiki tatu na kugundua kuwa lina maslahi ya kisiasa kwa sehemu kubwa. Nimepitia makala na nukuu mbalimbali za watanzania juu ya kwa nini tuwe...
  7. C

    Usishabikie upinzani kama hujui mambo haya

    ANANDIKA: MUUMINI WA UJAMAA -Juma George Upinzani ni MZURI, Upinzani UNAJENGA, UPINZANI unatuweka IMARA. KUISHI bilaY UPINZANI katika maisha NI HATARI SANA, lakini kuwa na upinzani kama huu wa CHADEMA ni hatari zaidi kuliko kutokuwa na UPINZANI kabisa Nchini. Harakati za upinzani hazijaanza...
  8. C

    Mwenyekiti wangu wa CCM nakupongeza sana lakini napenda uzijue tabia za kobe

    NA JUMA GEORGE CHIKAWE. Hongera Mwenyekiti, hongera wanaccm wapenda mabadiliko kama mimi hasa yenye kuleta tija kwa WATANZANIA WOTE. Kama kuna jambo limeukonga moyo wangu ni hatua iliyofikiwa na wanachama wa CCM kupitisha mabadiliko makubwa na ya kuhistoria kwa Chama. Wapo watakaosema...
  9. C

    Shambulio la silaha alilofanyiwa Mhe. Tundu Lissu lisiwe mtaji wa kisiasa

    NA Juma George Chikawe. Naendelea kuhuzunika kama Mtanzania na kama Mzalendo kwa nchi yangu, ninapoona watanzania tunalazimishwa kucheza ngoma za siasa hata kama hatupendi kuzicheza. Ni watanzania Milioni 8 ambao ni wanachama wa chama cha mapinduzi(CCM), CHADEMA Milioni 5 na vyama vingine...
  10. C

    Tusipokuwa makini maadui zetu watafanikiwa kuharibu Umoja wetu

    Juma George Chikawe Kwanza kabisa nianze kwa kusema nimeumizwa sana na shambulio la silaha alilofanyiwa Ndugu yetu, Mh. TUNDU ANTIPAS LISU, na kumsababishia majeraha makubwa sana. Jambo hili halikubaliki wala halipaswi kuungwa mkono na Mtanzania yeyote yule mwenye akili timamu na anayethamini...
  11. C

    Onyo kwa wanachama wa CCM na matumizi ya mitandao

    Napenda kuwa wazi kabisa kuwa tabia iliyoonyeshwa na baadhi yetu si ya kukisaidia chama bali ni kukifanya kionekane cha hovyo. Hata kama tunatofauti zetu katika Jumuiya na Chama haipendezi kuzijadili kati social networks huo ni utoto uliovuka mipaka ambao chama kikubwa kama hiki cha CCM hakiwezi...
  12. C

    Usajili mpya kwa magazeti yote pongezi kwa mkurugenzi wa idara ya habari na mawasiliano

    Hivi karibuni tumemsikia Mkurugenzi wa idara ya Habari na Maelezo, Dr. HASSAN ABBAS, akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es salaam. Kati ya mambo mengi aliyoyazungumza, Dr. ABBAS alizungumzia utaratibu mpya unawataka wamiliki wote wa vyombo vya habari (MAGAZETI) kufanya usajili upya wa...
  13. C

    Uchina ni mshirika wa kweli katika mapinduzi ya viwanda Tanzania

    Kwa wanaoijua Uchina hawatakubaliana na wewe Wawekezaji wa magharibi waliamua kuelekea china baada ya kuona uwekezaji katika nchi zao ni expensive hata hivyo wamiliki wa viwanda vingi ni wachina wenyewe Sent using Jamii Forums mobile app
  14. C

    Uchina ni mshirika wa kweli katika mapinduzi ya viwanda Tanzania

    China ndio wanaikopesha dunia sasa hivi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. C

    Uchina ni mshirika wa kweli katika mapinduzi ya viwanda Tanzania

    Unaijua mikataba ipi ilete hapa sio unaongea tu hata ulaya wanakopa China sasa hivi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom