Waandae Mkutano Jangwani ili kupongezana na kupeana pole kwa kile kilichotokea. Waitwe na Masheikh wetu na Maaskofu wetu ili wamshukuru Mungu kwa kile kilichotokea na kinachoendelea. NAAMINI HAKUNA WA KUBADILISHA MPANGO WA MUNGU.
Kamanda Mussa Allan Ushabadili Kambi siku hizi nini? Maana yale mapigo yako ya awali siyasomi kabisa namna ulivyokuwa ukishambulia UKAWA na hasa CHADEMA?
Hello Brother Le Mutuz, Congratulations for taking your time to write a well thought presentations. I have some few remarks to you, I believe You and CCM had plenty time and the machinery to settle all the grievances that are now in the spotlight, in fact CCM and the leaders in particular had...
Hivi Mzee wa Kasi na Viwango Kaishia wapi? Mbona ule Mkwara wake wa Bunge Maalum la Katiba ni kama wameupotezea? Je alichukua Fomu za Ubunge ama yuko wapi?
Hii Kanuni na Wosia wa Baba wa Taifa imeheshimiwaje kwenye kura za maoni za CCM zinazoendelea kutikisa ccm yenyewe? Hizi kauli za Mwl mnazitumia tu mnapotaka kupindisha mambo yawanufaishe wenyewe. Mlisema mnamuenzi Mwl. Ni kitu gani hasa kimefanyika kumuenzi zaidi ya kutumia kauli zake...
"Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza" Naamini miaka yote 54 ya uhuru ndo unatuelezea "UMAKINI WA CCM"Du ama kweli hii ni kama nchi ya "Wagagagigikoko na Mfalme Hui Hui"
Wamefaidika sana, Wewe huwa husikii majibu ya " Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooo" Hukuona mikataba inapitishwa na upande mmoja kwa kura ya "Ndiyoooooooooooooooooooooooooooooo" Dawa yao na matokeo ya kupigwa wakati wa Kura ya maoni ndani ya CCM yenyewe.
Anza kusherehekea Mkuu, Maana umesema ukweli. Kumbuka hujatupatiachanzo cha takwimu zako, Ni utafiti, ndoto, maoni yako binafsi ama matamanio yako. Unachotaka kutwambia ni ukabila na ukanda ambao ndio sera za chama chenu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.