Recent content by CHIKACHAO

  1. C

    JamiiForums Tanzania Edwin Mtei asikitishwa na alaani kitendo cha Tundu Lissu kumtukana Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere

    Nimepata fulsa kwa kiasi kikubwa ya kusikiliza kile alichokionge mh Tindu lisu bt kwa upeo na utashi wangu sijaona kama kuna sehemu aliweza kumtukana Baba wa Taifa hili,bali alichoweza kusema yeye ni kuwa watanzania wengi huwa tunashindwa kusimamia kile 2nachokisema,na ametoa mifano ambayo hata...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bungeni tumepeleka vichaa, wendawazimu au mateja?

    Unajua matatizo yote yanatokea kwa kuwa serikalin yetu imevaa miwan ya mbao,mpaka CCM waondolewe ndo matatizo yote yataisha
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete awataka vijana wawe wazalendo, wasifurahie nchi inaposemwa vibaya

    katika hali isiyokuwa ya kawaida,Rais wetu mweshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametutaka vijana tuitetee nchi yetu pale inaposemwa vibaya Mimi binafsi kama kijana wa tanzania siwezi hata kidogo kuitetea nchi yangu kwa mambo yafuatayo 1.Hali ngumu ya maisha tuliyonayo katika nchi yetu -Ambayo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kuanika ukweli wa mambo, ni leo kwenye mkutano wa CCM jijini Dar

    mh! nyie mna matatizo,hivi mmeondoka chadema kwa kusema kuna ubaguzi wa kikanda na huo mnaoiona ni ufisadi papa,then huko ccm mnakoenda kuko salama? Na kwa elimu na uwezo wenu na kwa nyinyi kutokuwa na maslahi binafsi na kutokuwa na tamaa ya uongozi mmefanya nini ili kukirekebisha Chadema na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ujinga unaofanywa na baadhi ya wanafunzi wachache wa UDSM

    Jamani!,m2 mwenye nia nyema na uchungu wa nchi hii,haweza kuleta mdhaa na maisha ya watanzania hata kidogo,wala kushawishika kwa chochote kile,sasa leo nawaona hawa wanaoitwa wanafunzi wa UDSM,wanaomzungumzia mnyika,mimi naona kama hawafai katika taifa hili la Tanzania,hususani jimbo letu la...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    Ukijaji maendeleo jua unajaji CCM iwe kwenye jimbo lolote,hata kama linakaliwa na upinzani,so kazi za mnyika ni kusimamia serikali iliyopo madalakani inafanya hayo maendeleo,so ukiangalia hivyo utaona kwamba mnyika sio 2 mwakilishi wa ubungo bali ni tanzania nzima,but anakwamishwa na serikali...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Thomas Kashilila apingana na Spika Makinda kuhusu bunge kurushwa 'LIVE'

    Unajua hii yote inasababishwa na kukisimamia chama na sio kusimamia mustakabali wa taifa,hauwezi kukubali kwa hilo,mana watanzania tunauwezo wa kupambanua mambo,wasitufanye sisi wananchi wapumbavu,2naomba watuache 2angalia yanayoendekea bungeni ili iwe fimbo ya kuwachapa wale wanaosimamia chama...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Selikari za mtaa na kukuza chama cha mapinduzi

    Jamani watanzania kuna kitu ambacho kinafanyika,naomba kujua kama kisheria iko sawa kwa hili,mana unapoenda serikari za mtaa kwa ajili ya barua yoyote ya utabulisho au kwa ajili ya ishu yoyote ni lazima uambiwe uende kwa mjumbe ukachukue barua ya utambulisho ambayo yenyewe inakuwa na muhuli wa...
Back
Top Bottom