Recent content by chii_01

  1. chii_01

    Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Habari. Naweza pata connection ya vipuri vya pikipiki za kichina???
  2. chii_01

    Wakulima wa Tanzania rekebisheni hili

    Ulicho andika sina hakika nacho. Ila wakenya hawakuwai kuwapenda watanzania ata siku moja na nilishuudia juu ya chuki yao ya wazi nikiwa Zambia. Watanzania wakiamka wakenya watalia na kusaga meno.
  3. chii_01

    Namibia ni nchi nzuri kuliko nchi zote za Afrika, vijana nendeni mkaone

    Naunga mkono mada. Uyasemayo ni ya kweli na mimi kama kijana nimeona vitu vingi vya kufanya ndani ya namibia. Nakomea hapo. Shukrani.
  4. chii_01

    Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Kwanza nasoma comment na nikizielewa ndo nakuja kusoma Uzi wenyewe. Niki,comment kwa jinsi nlivyozisoma comment zilizo tangulia naona huu Uzi umejaa upuuzi na uzinzi.
  5. chii_01

    Rafiki yangu wa karibu anatakwa kimapenzi na mpwa wake

    Samahani pia kwa sababu sijajichosha kwa kusoma hicho kisa. Nawasilisha.
  6. chii_01

    Fahamu aina za Cement zilizopo sokoni nchini Tanzania

    Yawezekana jamaa alijisahau kukiandika hicho kiwanda usemacho. Kosa lako ukutaka kumrekebisha jamaa kwa neno la "naongezea hapo". Na kama jamaa ni muongo ni kwanini wewe unaye jua ukweli ukuleta mada kama hii kabla yake?
  7. chii_01

    Kwa mwanamke maandalizi ndo huamua upewe game ya aina gani

    Naisi leo umepewa game ya kiwango cha juu sana!.
  8. chii_01

    Wanaume tuoe kwa sababu...

    Naunga mkono hoja.
  9. chii_01

    Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

    naona sasa umeshaanza kuelewa ivo punguza domo. kuna siku natoka zangu maeneo ilikuwa mida ya saa mbili usiku nikakutana na hao unao watetea wakiwa watatu wakani,tight vzr tu nami nilipo taka kujitetea nikachomwa kisu cha karibu na jicho na akawa anakikandamiza ivo nikatulia. baada ya kumaliza...
  10. chii_01

    Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

    lady mwali, me naona hauna hoja ya msingi hapa yan unatupigia kelele tu humu. kama unataka mambo ya sheria nenda mahakani.
  11. chii_01

    Kijana aliyeuawa na watu wanaojiita Sungu sungu Mburahati, Rais Samia ingilia kati

    Ngoja siku ukutane nao watakuonyesha vifungu vyao vya sheria alafu ndo utaelewa kuwa hao sio watu wazuri. amini utaleta mrejesho hpa ukilialia.
  12. chii_01

    Tovuti za ngono hazijafungiwa Tanzania

    naona leo umepiga chabo mpak ukapig nn....!!! af umeshapakuw mzigo wako kisha ndo unakuja kuleta taarifa. ila wakizifungia utapiga pesa sana coz utagonga copy za kutosha si umesem mizigo unayo. af acha umbe....!
  13. chii_01

    Wanawake wanapitia mateso na manyanyaso makubwa sana kwa wanaume zao

    ni kweli kuna baadhi ya wanawake wanakutana na magumu kwa kujitakia na wengineo uonewa.
  14. chii_01

    Wanawake wanapitia mateso na manyanyaso makubwa sana kwa wanaume zao

    wew n mwanaume kwel??? neno mwanaume umeliandika mara 22 lkn nmekuelew mkuu.
Back
Top Bottom