Samahani mkuu hivi ulishamuomba msamaha Edward kwa ile mitusi na mikejeli ya enzi hiyo?niliwahi kukuamini mno ni bahati mbaya najutia imani yangu kuwekeza kwa wale wale!
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof Palamagamba ni mgogo mzaliwa wa mvumi makulu,baba yake ni mgogo wa manyoni na mama yake ni mkaguru wa kilosa morogoro,baba yake alikuwa ni mwalimu wa shule ya msingi mvumi makulu pia akiwa ni muamini mkubwa wa kanisa Anglican la Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bavicha iliyoimbishwa Edward mwizi mkuu nayo ikaimba,wimbo ukabadilishwa kuwa Edward ndiye mmbeba maono ya mabadiliko nayo ikacheza na kuimba kwa sauti pambio hilo,hii ndiyo bavicha bora kweli?bavicha ambaye viongozi wake hutoka mfukoni kwa mbowe huo ndio ubora siyo?bavicha ambayo leo wanaambiwa...
Kweli kwa sasa mmeshikwa pabaya,niliwahi kuamini kuwa wewe ni kati ya vijana ambao wako sawa sana kichwani,siku za karibuni nimeanza kukuona tofauti sana aise,yaani rais asifanye chochote kwakuwa ajenda ni sukari tu!hivi main agenda ya upinzani toka jpm aingie magogoni ni ipi labda?
Mbona umepanic ndugu naona imekuingia eeee?pole aise tatizo ni moja upinzani umekosa hoja umebaki na kick za kipuuzi kama hizi za kina mdee na ndio mana na ninyi pro-upinzani hamna cha kuongea humu zaidi ya panic kama hizi!pole sana ndugu!yana mwisho mwaya[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hata kauli ya kubenea kuwa wabunge wanawake wa upinzani wanavaa shanga kiuononi haikuwa bahati mbaya ni kwa kuwa kubenea anawajua vizuri hawa le wabebiz wa upinzani!nadhani mdee angeongoza le wabebiz wenzie kutoka hii siku ya kubenea na si juzi kwa milinga!
Bahati mbaya uzi makini kama huu hakuna wa kujitokeza na kutoa majb mujarabu,zaidi watakuja na matusi na upotoshaji linganifu,mfano mtu atakwambia mbona chenge bado yupo ccm hivyo si tatizo lowasa kuwa ukawa!kwa sasa tukubali upinzani utaendelea kupotea kwa kasi na viwango!period
Akiwasilisha "bajeti mbadala" ya kambi ya upinzani bungeni,"wakili msomi" Lissu aliwataka wote waliotumbuliwa kwenda mahakani! Wakati Lissu akitoa rai hiyo meya wa jiji amemtumbua mchana kweupe meneja wa Ubungo Bus Terminal huku meya wa Kinondoni kwa kushirikiana na baraza la madiwani Kinondoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.