Msaada kwenye tuta,Prof Kitila Mkumbo kamaanisha nini hapa?

Chigwiye misi

Member
May 31, 2012
74
41
Uchwara ni pambano lipi?
 
Attachments

  • 1469814234505.jpg
    1469814234505.jpg
    44.1 KB · Views: 69
Zamani shuleni waliokuwa wanajikomba/kujipendekeza kwa walimu tuliwaita COMBI sioni tofauti kwa professor wetu
 
Chadema wamelewa sifa. Wanafikiri wananchi wana moto ule ule ....harakati hii itashindwa kuliko zote na kuzidi kudhibitisha kuwa Chama hakina mikakati halisia ...
 
Kitila mkumbo hajawahi kuwa na lolote la maana ndio maana anazeekea kwenye maflat ya chuo kama mwanafunzi, hovyo kabisa
Unae assess la Maana kwa mkumbo una maana au uelewa gani mpaka ujue maana ya Kitila?

Kitila ana maanisha unapingaje Udikteta kwa Rais wa Nchi wakati wewe Chamani ni Dikteta?

Unamshinikiza Slaa akae pembeni kumpisha Lowassa badala ya kuruhusu Demokrasia itamalaki then unataka kuingiza vijana barabarani wakapiganie Demokrasia na kupinga Udikteta?
Unafiki ni kipinga jambo analofanya Mwenzio wakati wewe mwenyewe Nyumbani kwako ndio mfumo wako wa utendaji
 
Rudia uedit tukuelewe
 
Chadema wamelewa sifa. Wanafikiri wananchi wana moto ule ule ....harakati hii itashindwa kuliko zote na kuzidi kudhibitisha kuwa Chama hakina mikakati halisia ...
sifa zipi? si mlisema wananchi hawawatakk tena CHADEMA. ..my friend muda hausubiri mtu
 
Rudia uedit tukuelewe
Hakuna typing error sema hujaelewa halafu unajifanya ku assess Hoja ya Prof.
Unataka Ma Prof kama Baregu aliekabidhi akili zake kwa Zero wa Sekondari ndio ujue ni msomi?
 
Chadema wamelewa sifa. Wanafikiri wananchi wana moto ule ule ....harakati hii itashindwa kuliko zote na kuzidi kudhibitisha kuwa Chama hakina mikakati halisia ...
Hivi UKUTA wangeachwa waandamane polisi wahakikishe usalama na tungeona matokeo yake ndio tungesema wananchi wamewachoka.
 
Akiipinga ccm anaitwa professor mwenye akili, lakini akipinga hoja za CDM anaitwa professor mchwara. Na hiyo ni Democracy ya washabiki wenye virusi vya kidikteta ambao Wao wana liseni za kukashifu maoni ya wenzao lakini Wao wasiguswe.
 
Back
Top Bottom