Recent content by chigga

  1. C

    Kampuni za ku-BeT na upangaji wa matokeo

    Nimekubali.. Wanapanga matokeo... Hawajamaaa....
  2. C

    Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

    Abiria akitoka miji mikubwa kama.. Nairobi.. Kampala, lusaka "Malawi.. Uwashushe boko.. Basi hamisha pia uwanja wa ndege pale,, upelekwe chalinze ndio akuna msongamano.. Tatizo ni miundo mbinu tu.......
  3. C

    Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

    Ww chizi. Tangu lini stand ya mabasi ikawekwa nje ya mji... Tena stand inatakiwa iwepo kariako Au mnaz mmoja.. Ndio city centre.. Au jangwani.. Uwezi kutoa watu mikoa alafu unawashusha boko.. Unasema unaondoa msongamano...tembea huone.. Nenda southafrica.. Pale Johannesburg.. Stand chini tran...
  4. C

    Yametimia: MSD yaweka nembo za Serikali kwenye dawa zake; wizi wa dawa kudhibitiwa

    Je wakitoa kwenye haya mabox yenye nembo. Wakatengeneza mabox mengine wakiziweka huko watajuaje? Madawa yanatakiwa kuunzwa hospital tu..Au wangeanza na kupiga marufuku baadhi ya dawa ambazo zinahitajika kwa kiasi kikubwa.. Na wananchi ndio wangeanzia hapo kufuatilia.. Pia maduka binafsi...
  5. C

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Angepanda helicopter mpaka.. Chalinze.. Then aende zake.. Au angepitia bagamoyo. Msata. Chalinze.. Aende zake dodoma..... Hiyo ndio najua ingekua inamaa sana...
  6. C

    Shamba linauzwa Kibaha Madafu

    Shamba linauzwa misugusugu.. Mita Mia 700..kutoka barabara kuu ya dar - mlandizi .. Bei 15 kwa heka.. Limepakana na oryx.. Mawasiliano.. 0762455093.. 0767300088. Akuna dalali,,, bei itapungua kidogo kama utachukua zaidi ya heka kumi...
  7. C

    Mgombea ubunge TANGA MJINI awatukana watu hovyo hovyo

    Kesho naelekea tanga.. Nitaleta mrejesho...
  8. C

    Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

    Mbona watu wanakesha misibani, kwenye club, na bar, kwenye maombi tunakesha... kwenye vituo tutashindwaje? Hata biblia inasema kesheni mkiomba.. Tunakesha kurinda kura zetu zote nchi nzima....
  9. C

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Kenkwale..kwedikwazu, Kwedizinga..
  10. C

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Unyonya umkunoze,, pub ya kiti moto...
  11. C

    Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    Moshi chadema wanachukua tena,, japo wa ccm anajalibu kutumia pesa kuhonga watu.. Na kufanya ubabe lakin.. Bado chadema inanguvu hasa kutokana na mafanikio ya miaka mitano baada ya kukamata manispal... Mambo mengi yamefanyika hasa barabara zimejengwa, zahanati,,na mengine mengi...
  12. C

    Ukimya wa Lowassa wakitia homa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Hao wabunge wa ccm wamechangia nini mpaka sasa,, ni bora ukae kimya... Kuliko kuongea pumba... Lowassa ndio kiongozi anayeweza kututoa...
  13. C

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Tumeshalia na kusaga long time ago.. Bora tuone tutasaga vipi na ukawa... Hivyo hivyo mpaka kieleweke...
  14. C

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Hee hiyo tafiti ni ya ukweli kabisa,, hata ukiwahoji watu kumi, saba Au nane wanataka mabadiliko. Ndio maana Lowassa ananafasi kubwa ya kuwa rais....
Back
Top Bottom