Recent content by chifu450

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka sasa hawajaiteka "Kyiv", basi ni wazi Jeshi la Russia halina nguvu kama inavyodaiwa

    [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
  2. C

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

    Asante kiongozi inch 32 na 49 ina gharim kiasi je wanapima kwa CBM?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

    Sawa mkuu nashukuru
  4. C

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

    Ningepata sababu ingekua vzri kwa mfano TV china original samsung,konka ,Lg ni 250k 4k hyo inch 32 na ni smart kwa nini nisitafute njia nzuri ya gharama nafuu kuileta hapa nikaitumia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

    Ngoja wajuzi waje mkuu watupe mwanga niliofia kuagiza Tv sababu unaweza kununua TV bei ndogo ukasafirisha bei kubwa so nataka niangalie usafiri ili kujua kama kuna faida ya kuagiza au kununua hapa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

    Habari wana JF Naomba kujuzwa Kwayoyote anaefahamu gharama za usafirishaji wa TV kwa njia ya Meli inagharimu kiasi gani mpaka hapa Kwetu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    baada ya tatzo niliumwa kama mara mbili malaria nilikua na wa kg 60
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    tatizo lilikua nini kiongozi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    Asante sana kiongozi nitafuata ushauri wako mungu akubariki
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    sawa mkuu asante naku dm sasa hivi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    nashukuru sana nitafuata ushauru wako
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kizunguzungu: Fahamu chanzo, dalili na tiba yake

    Habarini watu wa Mungu natumaini mpo salama Naomba kupata utatuzi au hata ushauri ili kuweza kutatua hili tatizo. Nina kizunguzungu ambacho mpaka sasa sikielewi nimeenda hosptal naambiwa nipime fullblood picture ambapo majibu yalikuja hamna tatizo lolote kwenye mfumo wa damu Dalili ambazo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya hiatal hernia na acid reflux

    hivi ni kweli ukifanyiwa upasuaji wa hernia unapoteza uwezo wa kuzaa?
Back
Top Bottom