Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

Yaani unaogopa kwenda hospital unasubili uzidiwe uje kubeba bila kujitambua, wakati mwingine mtu unaweza kuwa unajipa ugonjwa usiokuwa nao, nenda hosp katibiwe acha utoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Free toll numbers to call in case you experience symptoms/ suspect someone

0800110123/ 0800110124/0800110125
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.

Mkuu don't complicated life, mm kipind li Corona ndo inaingia nchini Kuna wachina walikuja maeneo ninayofanyia kazi, mtu na demu wake, tukapiga stor kweli, siku Kama 2 nikawa nakohoa Sana na mafua na siku 1 mbele asubuhi nikawa nakohoa natoa makohoz yana damu kiasi, Muda Kama masaa mawili hivi.

Nikawaanza kuwaza, wachina walisema wako nchini tangu mwez wa 9 mwaka Jana.
Nikawaza tena, NI MARA YANGU YA KWANZA KUUGUA KIKOHOZI NA MAFUA?? JIBU HAPANA.

HALAFU NIKAJIULIZA TENA, NI MARA YANGU YA KWANZA KUKOHOA MAKOHOZ YENYE DAMU KIASI? JIBU NI HAPANA.

Nika-conclude SIO CORONA, nikaenda pharmacy nikachukua zangu VISIKING nikameza baada ya siku 3 Niko fresh kinyama mpaka wa leo.

*****
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
Pole Mkuu kwa kuumwa na hayo maradhi yako tumia hii njia inaweza kukusaidia ukaweza kupona maradhi yako fuata ushauri wa video lakini hiyo dawa uwe unakunywa kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kwa muda wasiku 3 au siku 5 au siku 7 kama ni ugonjwa wako ni mkubwa utapona na pia uwe unakunywa maji mengi kwa siku kunywa maji ya uvuguvugu glasi 12.

Kijana mdogo wewe huwezi kufa.. corona sio kama HIV.. HIV ukisha pata ujue imekushikia kisu kooni.. siku yoyote unaliwa kichwa.
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom