Hapana!
Japo kwa sasa naishi Moshi mjini siwezi sema kwamba hapa ni umasaini. Na pia mimi siyo mmasai.
Mimi ni mzinza toka Biharamulo mkoani Kagera ila nimeishi makao makuu ya mikoa mbalimbali kwa zaidi ya miaka 25.
NI swala la kufatilia tu jamii mbalimbali nazokutana nazo katika mizunguko yangu...
Kama sisi waislamu ni Sunna kutembea na silaha lakini kujaribu mara moja utaitwa gaidi,Al shabaab, alkaida na majina mengine lakini mmasai hakuna anayejali japo Kwa tukio hili huenda serikali ikaanza kiwafatilia japo ni ngumu.
Serikali ilishawafanya wamasai kama sehemu ya maliasili kwahiyo...
Lakini nasikia hukohuko kwao wamewahi kumuua kwa mishale afisa mkuu wa idara ya wanyamapori pamoja na kwamba alikuwa na kikosi cha askari wenye bunduki.
............. watazuga kama vile hakuna wanachoelewa , sanasana mambo yakiwa magumu watazungumza na familia yake wauze ng'ombe wawili watatu kutafuta hela za kuwahonga polisi na hata hakimu endapo kesi itafika mahakamani.
Kwakweli aliyeuawa siyo mtu wa kawaida na waliyoua sio watu wa kawaida...
Hapa tuseme KIMEUMANA, Polisi kazi wanayo!!
Habari zenu wanajukwaa!
Hii habari ya morani wa kimasai kumuua bosi wao ambaye ni "MUWEKEZAJI" toka nchini China imenifikirisha sana!
Kinachonifikirisha ni kwamba : KAMA ALIYEUAWA ANGEKUWA MTU WA KAWAIDA nguvu ya kumtafuta muuaji pia ingekuwa ya...
Habari za muda huu wadau.
Kuna habari nimeona mitandaoni ikanifikirisha kidogo nikaona niilete jukwaani tupate mitazamo ya wengine.
Ni kwamba Inasemekana ya kwamba watu wote waliokunywa kikombe cha dawa kwa babu wa Loliondo wote kwa sasa wamefariki dunia ikiwa pamoja na babu mwenyewe!
Mimi...
HABARI NJEMA KWA WAKULIMA
Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao.
Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama.
Mkojo wa sungura pia...
Chadema sera yenu kuhusu muungano ni pawe na serikali tatu.
Na Nyerere unayejifanya kwamba unamtetea kinafiki ndiye muasisi wa muungano wa serikali mbili mfumo ambao nyinyi mnaupiga vita kwakuwa umelimeza jina la Tanganyika na kuwapa nguvu wazanzibar kuweza kuwa na nguvu kubwa ndani ya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.