Recent content by Chifu kamaliza

  1. C

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    huyu jamaa hatufai kwa sababu emetuibia sana na bado anaendele kutuibia kupitia uwekezaji wake wa kitapeli hatakua na msaada na watanzania arudishe kwanza fedha zetu
  2. C

    Nitawezaje kutuma picha kwa kutumia simu?

    Naombeni msaada wenu wakuu jinsi ya kutuma picha hapa kwa kutumia simu yangu
  3. C

    Salum mwalimu

    Kwa kweli nimeupenda utendaji wa shughuli za huyu kijana katika siasa ni mfano wa kuigwa na vijana wenzake walioko kwenye siasa kanivutia sana mpaka nimeanza kufatilia siasa.
  4. C

    Naomba msaada wa kuweka whatsapp kwenye tecno t20

    Nahitaji msaada wa kuweka whatsapp kwenye simu yangu ya tecno t20
  5. C

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katika uchaguzi wa tarehe 14 CCM kushinda kwa asilimia 80 kwa sababu uwezo wanao, sababu wanazo pia wagombea wao ni watu makini na wanaokubalika na jamii ya watu walio wengi tofauti na vyama pinzani.Tafiti iliyofanywa shirika la feed Africa ktk mitaa yote ya mkoa wa Arusha wasema ktk mitaa 153...
  6. C

    MSAADA:Jamaa hajasimama siku ya Nne leo

    Wewe siku mbili tu unaopa hivyo mpaka uzito unapungua wengine wana miaka na wana wake zao
  7. C

    CHADEMA ni chama ambacho hakifai kuaminiwa na Watanzania

    Kobe ni ww ambaye hujui kinacho endelea ndani ya chadema umekaa kulishwa maneno kama balozi wa nyumba kumi kumi JITAMBUE KIJANA.
  8. C

    CHADEMA ni chama ambacho hakifai kuaminiwa na Watanzania

    Hivi wanajamvi wenzangu tulisikia mengi ya kimaendeleo ambayo viongozi wa kuu wa chadema walikuwa wakituambia tangu kufanyika kwa uchanguzi mkuu 2010 kama UJENZI WA VISIMA VYA SABODO,UJENZI WA OFISI YA CHAMA MAKAO MAKUU,UJENZI CHUO CHA UONGOZI KIBAHA na mengine mengi lakini ktk haya matatu...
  9. C

    Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

    katika utafiti niliofanya nimegundua kuwa ccm ni chama imara na chenye nguvu nchini kuliko vyama vyote vya siasa nchini. 1.ni chama chenye wana chama wengi na hai kuliko vyama vyote vya siasa 2.ni chama chenye kuwajali wananchi wote. 3.ni chama chenye viongozi imara na weledi wa mambo kama...
  10. C

    Demokrasia ya kweli tanzania

    Demokrasia ya kweli tanzania itawezekana pale ccm itakapopata ufahamu kuwa haina hati miliki ya tanganyika kwa sababu imejisahau na kufikiri kuwa kila mawazo mapya ambayo hayatokani na ccm hayafai kusikilizwa na watanganyika ifike mahali sasa ccm itambue tanganyika sio ya ccm bali ni ya...
  11. C

    Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    Jamani tanzania hatuna jeshi la polisi tuna kikundi cha uhalifu,mauaji,uporaji,ugaidi kambi ya upinzani haikukosea kusema jeshi la polisi livunjwe
  12. C

    Mgombea wa CCM kata ya Kimandolu Arusha anafanya kampeni ya kikabila

    Katika pita pita yangu kwenye kata zenye uchaguzi mjini arusha nimekutana na magamba wanapita nyumba kwa nyumba wakiwashawishi wananchi wasiwachague wagombea ambao sio "WAZAWA" wa maeneo husika kata hizo ni elerai Kata ya kimandoli.Je huu sio ukabila jamani?
  13. C

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha akamatwa na Vijana wa chama kwa kukashifu viongozi

    Uongo mwingine bana hivi wewe unaetupa hii nyuzi unamfahamu mwigamba kweli au umekurupuka inaonekana wewe ni mchonganishi!!! wala sikukaribishi huku javini mnafiki mkubwa unakaa kimagamba magamba SHINDWA CCM KTK NGUVU YA UMMA.
  14. C

    Swahili kuhusu mtihani wa QT

    Mkuu jisajili kufanya mtiani wa form4 hata usipofanya utakuwa na uhakika wa kurudia hata miaka mingi
  15. C

    Upotoshaji wa Juliana Shonza na kundi lake kwa vyombo vya habari...

    Sikutegemea vijana wa leo kama shonza na wengine wawe wavivu wakufikiri kiasi hicho na kuanza kulumbana kwa mambo yasiokuwa na tija kwa TAIFA wala chama chao kwa sababu ya njaa tu na kwa faida ya watu wachache ambao awalitakii mema TAIFA LETU pia CDM."!!makwazo haya budi kutokea lakini ole wake...
Back
Top Bottom