Sikieni ndugu zangu , katika maisha Mutakayoishi Duniani kuweni makini sana na watumishi wa Mungu halafu wanasiasa , hivi vitu havindagi pamoja , siasa unatakiwa uwe Muongo Mungu hapendi uongo , lakini pia jifunzeni kuwa lisemwalo lipo na kwanini usemwe wewe , na kama umesemwa ww mtumishi wa...
Acha kuwadanganya wenzako, Mungu hajakataza kuongezewa damu amekataza kula damu watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa , kanisa lolote linalokuzuia usiende hospitali ama usipate tiba yoyote kwa kudai kuwa Mungu atamsaidia , huko ni kumjaribu bwana Mungu. Kila jambo linanafasi yake na Wakati wake
Iko jehanam inawasubiri manabii feki , Jehanamu anayoenda ni ile ambayo wakiokuwa wanazijua siri za Mungu na Kuzigeuza kwa Maslahi yao
Manabii feki wapo wengi sana na Mwaka huu wataumbuka sana.
Mimi Binafsi nawashangaa wanaomuamini Lusekelo wakati inaonekana dhahiri sio mtumishi wa Mungu ni...
Biblia inasema zipimeni roho kama zatoka kwa Bwana au la Maana hata wajumbe wa shetani hufanya miujiza pia , lakini pia niwashauri kuwa kuna ulimwengu wa roho ulimwengu wa roho una pande mbili , upande wa Mungu aliyeumba Mbingu na nchi na upande wa shetani hapa lazima uwe mwanachama katika...
Msimlaumu , utotoni ili watu wajue unajua kuandika unachora kwenye milango , huyu atakuwa amesoma English course ., hapo anaona kapatia ijapokuwa havina mantiki
Asikiae na afahamu: mwanadamu ili afanikiwe katika jambo lolote ni lazima awe na uhusiano mzuri na Mungu aliyeumba mbingu na nchi
Mahala popote pale ambapo watu hawaitwi kuokoka iwe kwa mtumishi yoyote yule ila anatangaza miujiza tu na mafanikio ndugu zangu muogopeni mtu huyo na Msiende katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.