Recent content by Chiefmweusi

  1. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu vyangu vya ndani

    Tuone picha ya jiko mkuuu
  2. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Bei mpya za simu za tecno hizi hapa, okoa pesa zako, nunua kwetu, haijawahi tokea

    Mkuuu sijaona TECNO boom
  3. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Jina la Benki hii lipi?

    Inaitwa CRDB Bank PLC baada ya kustrasform kutoka kwenye mikono ya serikari na kuwa Private company sasa CRDB imebaki Kama jina la company na usilefushe wewe sema CRDB Bank PLC
  4. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Hv bado alikua na kadi ya ccm..
  5. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari aifagilia serikali ya awamu ya tano

    Vipi hakwenda kumpokea PM airport..??
  6. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaonyesha CCM haiwezi kabisa kushinda uchaguzi mwaka 2020

    Kwa upinzani huuhuuu CCM watashinda
  7. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Huku uwezi linganisha na huko kwenu monduli au ukwen kwako hai
  8. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Vp serikali iki filisika kwa kufanyabiashara na fedha zake yenyewe je hii ni sawa
  9. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Hata wakati Wa kupiga kura hua unajua mshindi sa cjui hua unaenda kupiga ili iweje..
  10. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Ushahidi huo anao siku zote ila anapo utunza na hisi hua ni mbali sana hata mwenyewe hua anasahau
  11. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Mwenye ushaidi na aende mahakamani
  12. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Off GridElectric Company tunatafuta wakala wa mauzo

    Hawaelewek wanaweza kukuajir Leo kesho wakesema wanapunguza wafanyakaz
  13. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Off GridElectric Company tunatafuta wakala wa mauzo

    Kwa mlio wafanyanyia vijana na mabinti zetu sitaman tena kuna vijana wanahangaika na hii kampuni uupuzi mtupu
  14. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania NMB northern zone wamejibu

    Leta hiyo mail tuone
  15. Chiefmweusi

    JamiiForums Tanzania Peoples bank of Zanzibar wameita au bado?

    Habari za ndani zinaonesha majina yatatoka punde tu baada ya mishemishe za uchaguzi kuisha so vuta subira mdogo wangu
Back
Top Bottom