Recent content by ChiefmTz

  1. C

    JamiiForums Tanzania Benjamin Fernandes: Kiingereza na speed ya kusajili imefanya nijikite zaidi Kenya kuliko Tanzania

    Huyu kwanza siyo Mtanzania. Simshangai
  2. C

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

    Wagogo umewaonea
  3. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Magambo Makongoro Amefariki Dunia

    Huyo Dogo hajitambui
  4. C

    JamiiForums Tanzania Shuleni kwa mwanangu wanatozwa Tsh. 300 ya usafi kwa mwezi, kwa shule nzima ni pesa nyingi

    Mbona hiyo ni pesa ndogo tu? Acha wivu. Imagine shule Ina wanafunzi 2000 x 300 ni sawa na Sh 600,000/ Laki Sita tu ambazo zinatosha kulipa Wafanya usafi Wanna tu@ 150,000/
  5. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwe Makini! Mwaka Huu CCM tutazomewa sana!

    Hakuna anayetaka CHADEMA ife, tunaiombea ipite salama katika kipindi kigumu ilichochagua,
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

    Iondoe Liberia Kwa sababu ni nchi iliyonunuliwa na Wamarekani Kwa AJILI ya watumwa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wachagga walitaka kuunda nchi yao (Chagga State), Mwl. Nyerere akaomba wasifanye hivyo

    Mwandishi amekusudia kupotosha ukweli. Mbona hajaeleza uhasama Kati ya Wakibosho na Wamachame.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Tanzania wafikia watano

    Thread yako ni kueneza chuki
  9. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Ni mazuri sana kama mtu muangalifu na yanadumu sana. Nilikuwa nalo lilikaa miaka 6
  10. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    Kulima kwangu ni passion.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    Mimi sikati tamaa. Mwaka huu nimepigika lakini siachi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    Wewe ndio fala ambaye hujawahi kumiliki hata ekari moja ya Shamba. Sisi tunaolima ndo tunaujua ukweli. We ni Mshenzi tu wa kiwango cha uprofesa tuliza makalio. Hapa ninavyokujibu nipo Shamba namalizia kuvuna Alizeti
  13. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais kuzuia kuuza Mazao nje ya Nchi, bei zimeshuka

    Kwa taarifa yako wanaonufaika na bei sio Wakulima bali ni madalali na wafanyabiashara ya mazao
  14. C

    JamiiForums Tanzania Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

    Mimi ni pro Mkataba. Aliyetoa kauli ya ubaguzi ni Tundu Lisu. Unaowashutumu ni Watanzania wa Bara ambao umewaita Watanganyika. Kwa nini na wewe usiwekwe kwenye kundi la Wabaguzi?
Back
Top Bottom