Nadhani kinachozungumzwa hapa sio mwanamke asome then akae Tu ndani, swala ni, kusoma,kufanya biashara, kupata nafasi ya Uongozi n.k tunafanya mwanamke aache kuwa mwanamke? Aanze kuwa mbabe, mwenye dharau, na KIBURI kwa mumewe?
Kama hivyo ndivyo wanavyoamini, basi ni ukweli kwamba, miaka ijayo...