Recent content by chief72

  1. C

    Je, kuna njia au dawa ya kupata Mapacha?

    Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike! Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji ambayo itawezesha hili, au mapacha ni jambo la kiasili na kimaumbile kama watu wanavyodhania?
  2. C

    Kinachotokea Siku ile mtu anavyochukuliwa MSUKULE

    Je naruhusiwa kufanya nae mapenzi msukule kama Mimi ni boss wake
  3. C

    Uchunguzi wabaini mchezo mchafu wanandoa ajali ya gari kutekea moto

    Hakuwa na sabb ya kwenda Thailand kubadili sura,hapahapa bongo wapo waganga vigagula unabadilishiwa sura fresh na maisha yanasonga
  4. C

    Ukweli ni upi kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT??

    Hiyo technology naamin yawezekana kabisaa, hebu tafuta movie inaitwa fringe Luna mwanasayance katoa majibu ya tech hii, na ukiangalia hiyo muvie uta enjoi mkuu!!! Alafu kujua jua hizi mambo kangalie muvie ingine ingawa maudhui no tofauti na thread yko,muvie inaitwa manifesto!!
  5. C

    Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Tatizo gwajima anaongea as if kafany utafiti,even though hata wizara hawaja thibitsha moja kwa moja kufaa kwake au kutofaa!!
  6. C

    Mungu Mwenyezi: Ninawaombea IGP Sirro na Mbowe; Uhukumu kwa haki

    Mungu hapendi kutumia neno mtoto wa Mungu,sema mja wake Mungu, ukisema mbowe mtoto wa Mungu fasiri ya haraka ni kuwa mbowe na Mungu ni MTU na mwanae kumbe ni muumba na muumbwa 2. Ukisema Mungu amdhalilishe sirro, nk, basi unampangia Mungu cha kufanya, we omba kwa Mungu sirro atende haki,na hayo...
  7. C

    Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Pole sana !! Am feel the same pinch u are facing, nilimpoteza mama angu 2 years back,lakin nashangaa maumivu hayapoi kabisaaa!!! Kamakafariki Jana vile!!! Kutokana na maandiko na imani ya kislam inaonyesha kuna maisha baada ya kifo yanaitwa barzakhan!! Ambapo tutakutana once again na kuishi Ila...
  8. C

    Msaada wa ufadhili kusomea urubani

    Thanks kwa ushauri
  9. C

    Msaada wa ufadhili kusomea urubani

    Ndugu ktk forum hii, mwanangu wa like kamaliza kidato cha NNE, na kupata division one point 12, anapenda tokea utoto wake kusomea u-pilot Kutokana na changamoto ya kukosa ada familia tunaelekea kufeli kumfikisha ktk malengo, je naweza kupata scholarship? kwa namna yoyote, na huku mm am blind...
  10. C

    Niliyoyashuhudia kwenye mkutano wa injili wa Mwamposa Moshi

    Unasema wengi huwa waisilamu nasio wakristo! Naona kama ume jump faster to the conclusion .....ni kweli kuna waisilam hudhuria lakin sio kwa kiasi ulichotaka kutuaminisha!!!
  11. C

    Dodoma: Rais Magufuli na mkewe, wapanga foleni kujiandikisha kupiga kura

    sio tu mrithi bado kidogo atamfunika huo ndio ukweli wenyewe,
  12. C

    Wengi wanadhani Waziri mkuu wa Ethiopia Ahmed Abiy ni Muislam kumbe ni mlokole pure

    sio tatizo yeye kutokuwa muisilam sababu uisilam una idadi maalum ilisha kadiriwa ...kuwa muisilam ni bahat kubwa mno,haipat kila mtu, so yeye kutokuwa muisilam sio jambo la kushangaza ni hana bahat, sababu we jiulize mtoa mada hii unaposema jamaa dhebu lake ni m-protestant maana yake mpingaji...
Back
Top Bottom