Recent content by chief muswati

  1. chief muswati

    JamiiForums Tanzania CCM ni chanzo cha mafuriko yanayozikumba kaya zetu

    Dubai nayo imekumbwa na mafuriko nayo yameletwa na ccm?
  2. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hiace bado inalipa Songea

    Bei yake kwa sasa inauzwaje
  3. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    Ndizi mzuzu kwa kingereza zinaitwaje au zipo kwetu ?Kuna aina nyingne ya ndziz za kutumia kwenye chips na kitimoto tofaut na mzuzu?
  4. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka

    Mahind marage karanga na ufuta
  5. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka

    Lak5 inaweza ikatosha kuanzia kod mzan na gharama ndogondgo?
  6. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka

    Mm nimelima mwnyw natarajia kuvuna mwez wa5 mwshon nikivuna nasafrsha kuja dar nafungua kiduka Cha nafaka je mtaji unaweza kuwa shingap?kwny kukod frem na vitu vngne
  7. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Du ww ulilima wapi hyo ?
  8. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Kuna nyanya inayokimbiza kwenye soko kama zaid ya imara?
  9. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Nahitaji certified mbegu za maharage ya njano

    TARI nilkosea spelling
  10. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Nahitaji certified mbegu za maharage ya njano

    Watafute tala wanazo mbegu zilizofanyiwa utafiti
  11. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji kwa maji ya maziwa

    Mfumo upi ni mzur wakumwagilia shamba lilopo sehem yenye mwinuko kutoka kwenye chanzo Cha maji either mto au ziwa?
  12. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji kwa maji ya maziwa

    Pampu unayotumia hp ngapi uwezi kuvuta direct majitoka kwenye chanzo Cha maji mpka shamban bila kutumia tank?
  13. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Mbegu za malisho Lucerne, Boma Rhode, Masai Love Grass na Brachairia Grass

    Mbegu ipi ya Ng'ombe ni bora kwenye ufugaji kwa ajili ya nyama
  14. chief muswati

    JamiiForums Tanzania Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

    Mh hiyo kweli noma
Back
Top Bottom