Kiulimwengu mwanaume analiwa
Kwani ukifikia kitendo cha kutoa manii na mwanamke anapokea ni dhahili kabisa ata ukiweka chakula mdomoni mfano ugali unakuwa umeula ugali unakuwa umeliwa
Kuna watu wanakatishana tamaa sana either yeye alishawahi kuskia tu kwamba biashara ya madini inahitaji mtak mkubwa kumbe sio kwel watu wanaanza mpaka na 1M sembuse 5M.
Ukigundua binadamu tunatabia ya kukatisha tamaa ata ukiamka unagawa pesa kila mji bado 2 watakusema. Hivyo chochote kile...
Kabisa hii ni world order na kwasasa tulipo fika haiitaji IQ kubwa sana kuona hya mambo . Kwanza kwann kuwena upungufu wa nguvu za kiume kwa ukubwa Hivi na sjawah kuskia kuhusu nguvu za kike. Hapo utaanza kupata sign 🛑
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.