Enyi Watanzania,na washabiki wa siasa,hasa za hunu mtandaoni,huu ni wasaa wa kulia na kuomboleza.
Sio kwa tofauti ile iwayo yote tudhubutu kukaribisha nafsini mwetu laana aliyoikataza Mungu.
Tuungane tulie na kumlilia Mungu kwa hatima yetu.
Ni lipi tunatarajia baada ya huyu kuondoka.
Hakika...
Tarime hamjazuiwa kuiga mfano wa Chato.
Kusanyeni mapato ya ndani vizuri halafu myapangie vipaumbele.
Wenzenu wameamua hivi,je nyie mmeamua viwe vipi?
Hata mikopo na wadau wa elimu mnaweza kufikiria kuvishirikisha.
Naombatu mheshimiwa raiai utufungulie Internet.
Hatuko tena kwenye mambo ya uchaguzi kwani tumemaliza salama na tumeahinda.
Tuombe uturuhusu tuendelee na maiaha yetu ya kabla ya uchaguzi.
Naomba pia mwanasheria utuwekee hapa kuhusiana na pension na michango ya watumishi wa kawaida mara wanapomaliza utumishi wao,yaani wanapokuwa mwamestaafu.
Ni muda gani baada ya kustaafu stahiki kama hizi wanatakiwa wawe wameanza kupewa?
Ameonesha ushabiki na uzalendo wa waziwazi.
Jeshi la polisi mnatakiwa kutokuonesha hisia zenu za kisiasa.
Hata kama una sababu binafsi za kuhakikisha kuwa unaemtaka ashinde utampigania kwa gharama yeyote ile.
Hata kama ni ndg yako.
Kila aliyeiona clip ya polisi wilaya ya Hai akimhakikishia Mbowe kuwa hatashinda naamini kuwa atakuwa ameshtuka sana kwa uropokaji wa afisa huyu wa jeshi letu tunalotegemea kutokuonesha ushabiki au msimamo binafsi wa kisiasa.
Huyu Lisu haeleweki.
Anakuwa kama mwanafunzi aliyekaririshwa majibu ya maswali.
Kila mkutano wake wa kampeni utamsikia akisema kuwa ilani yetu ya uchaguzi ni haki,uhuru,na maendwlwo.
Hivi ndio hoja tu mlizo nazo CHADEMA?
Sawa huenda ni mada za iilani.
Kwnini basi msizinyabulishe zaidi kwa...
Kama mngejitafakari tu kidogo kuhusu nafasi yenu kama watawaliwa,basi msingejisumbua kwa mida yenu,MB za data kwenye sim zenu kutumika hovyo,na hata wishes zenu juu ya mtawala.
ie mwenye maamuzi juu yenu.
Hebu pambaneni na hali zenu na familia zenu!
Mgombea uraisi kwa tiketi ya Chadem ndg.Tundu A.Lisu anahitaji kuiachilia nafsi yake kwa kusamehe mabaya yaliyomkuta miaka mitatu iliyopita.Kuyaongelea kila mahali ampatapo wa kumsimulia,hasa majukwaa ya kisiasa,kutazidishia machungu kwake na wale wote wanaomhusu.
Niliwahi kumsikia mwenyekiti...
Kwa kawaida baba ukikuta watoto wanalalamikiana mezani kuwa umechukua firigisi yangu au hiyo nyama umejipendelea, basi ujue wewe ni baba unayejua kuhudumia familia.
Ingia mfukoni waambie wakajiongezee na vinywaji. "Baba lao" utashangaa wakukuambia ahsante mama na baba kwa chakula rumeahiba"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.