Asanteni sana PSU chini ya TISS kwa kazi nzuri na iliyotukuka mlioifanya kwa huyo aliyekuwa 'mtoto mpendwa'

Swali waliotumwa kwa Lisu.. kazi hawakufanya.. je adhabu yao ni ipi.. mateso yote anayo pata Magu kwenye nafsi yake ni jina lissu linapo tajwa..
Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
 
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Nyie wauza ndaga shangilieni tu maana aliwaumiza sana kuzima biashara yenu haramu. Kama mazoea mlifikiri mtaweza kulipa kisahi ila imewachukua muda kujua awamu ya 5 ni kitu tofauti. Sijui kwa nini hamjifunzi kuacha kuwahi kushangilia kabla hamjashinda. Si mumeona vijana wale wasomi waliyoitema cdm wakiteuliwa kugombea ubunge baada ya makamanda kunyweshana toss ya mvinyo kushangilia kuanguka kwao kura za maoni?
 
Kwenye hili nafikiria tofauti kidogo na watu wengi, Magu huyu Makonda kamute kidogo ili aonekane yeye ni msafi then baada ya hapo utamuona tena kwenye State akishinda.

Note hii comment
Mimi pia naunga mkono hili

Tena atateuliwa nafasi ya ubunge na Mh Raisi then uwaziri
 
Kwako Ndugu Yangu Comrade Paul Christian Makonda.....

Paulo Walikuandama Na Kukusema Sana....

Hii Ni Kawaida Kwa "HAZINA" yeyote,hususani MWANASIASA.

Wewe Una Uwezo Mkubwa Kisiasa.
Wewe Una Uwezo Mkubwa Kiushawishi.
Wewe Una Ufuasi Mkubwa Nyuma Yako.

Ninakukumbusha Kauli Ya Comrade Jakaya Kikwete,ile ya "Ni UPEPO TU".

Utapita UPEPO HUO,kubwa kwako Ni kuwa hiki ni kipindi mahsusi Mungu Amekupatia ili Uzidi KUJISOMA Nguvu zako na Mapungufu Yako.

Hiki Ni Kipindi Mahsusi Mungu Amekupatia Uzidi Kuwasoma Watu Wapendacho na Wachukiacho.

Hiki ni kipindi Mahsusi Mungu Amekupatia ili Uzidi Kufahamu HOJA ZA WAKUPINGAO,kwani Kusikiliza ni BORA kuliko KUNENA.

Baada ya "UPEPO HUO" Mungu Atazidi Kukufungulia na KUKUINUA Basi uendelee Kujifunza KUJISHUSHA na KUTOJIKWEZA.

Baadaye Kidogo,Mungu Atazidi Kukubeba na kukufikisha UTAKAKO,aaamin aaaamin.

Mwenye Uwezo Wa Kweli huwa Haogopi kusubiri ZAMU YAKE IFIKE kwani maisha na SIASA ZETU ni za ZAMU......

Your Turn is nearby inshallah,I wish you an exquisite moment.

Jumbe Brown
Muuza Al Kasus.
 
Ubalozi syo rahisi, kumbuka kuna mataifa yalishampiga biti kwenda kwao.
Akawe tu mkuu wa mkoa wa chato
Kama mngejitafakari tu kidogo kuhusu nafasi yenu kama watawaliwa,basi msingejisumbua kwa mida yenu,MB za data kwenye sim zenu kutumika hovyo,na hata wishes zenu juu ya mtawala.
ie mwenye maamuzi juu yenu.

Hebu pambaneni na hali zenu na familia zenu!
 
Ni usalama wa Taifa [TISS] na anaingizwa huko baada ya kuonekana ana ushawishi fulani.
Mfano , Patrobas Katambi alikuwa CCM, akahamia CHADEMA na akawa kiongozi mkubwa BAVICHA, wana CCM ile timu yao ya nunua nunua wapinzani wakamnasa KATAMBI na akafika bei, alipokubali kujiunga pia aliwapa masharti kwamba wamteue, wakampeleka mafunzo na sasa ni " afisa kipenyo" anafanya tisiii
Unadata mzee ulijuaje?
 
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Sio kweli anasubiri uchaguzi uishe ateuliwe kuwa mbunge na waziri wa mambo ya ndani.
Wanajuana na magu hakuna cha tiss wala nn.
Hadi leo Dar RC anakaa nyumba binafsi na Makonda anaendelea kuishi katika makaazi maalum ya RC.
Magu humwambii kitu kwa bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Watu nakumbuka hapa hapa Jamvini JamiiForums GENTAMYCINE niliposema kuwa aliyekuwa 'Mtoto Mpendwa' wa Mkoa wa Dar es Salaam Mr. Taulo la Christina Linanikondesha hana chake tena katika Mfumo (System) ya nchi hii hawakunielewa na wapo walionihakikishia kuwa Baba yake hatomuacha na bado ataendelea tu Kumbeba.

Sasa ninawataarifuni hapa hapa kuwa baada ya leo kuanza kupewa 'Dozi' yake ya awali kabisa pale Dodoma kupitia Walinzi wa Kikosi cha Rais (PSU) 'Kuzuiwa' kwenda Kuketi Jukwaa Kuu kama alivyozoea kuna 'Dozi' yake nyingine ya Pili inakuja ambayo hii sasa ni ya Kumuharibu kabisa 'Kisaikolojia' na nataoa 'Tahadhari' mapema kwa Watu wake wa karibu huyu Mtu anaweza hata kuja 'Kujiua' tu.

Halafu kuna Jambo ambalo linauma kama leo hii wale Watu ambao walikuwa 'wakikunyenyekea' na 'ukiwatesa' ndiyo Wanakuadabisha bila Uwoga.
Nileteeni Gwajima
 
Back
Top Bottom