Recent content by ChidofK

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

    Hapo Lema alikurupuka, afisa elimu alishauri vizuri hakumsikia. Hii ndio weakness kubwa ya wanasiasa wetu.
  2. C

    JamiiForums Tanzania msaada viambata hatari kwenye vipodozi

    1. Zebaki. 2.Hydroquinone 3. Other heavy metals like lead
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mke wangu nimemchoka, nimeanza kutembea na mke wa rafiki yangu

    Huyu hafai hata kupewa ushauri, anajua kabisa anachofanya na sababu zote zilizopelekea huko anazijua Huyu dawa ni viboko tu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Chenge kuhakikisha Membe haingii kwenye top 10 NEC kundi la kifo!

    Hilo kundi kama linadhani mpinzani wake ni membe then wamepigwa nockout kwani mpinzani wao mkubwa sasa ni mwananchi. Nani asiyewajua?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yawatimua kazi madaktari na manesi wastaafu wote nchin........

    Atakuwa katimuliwa mzee wako tu, wengine mbona bado wana mikataba ?
  6. C

    JamiiForums Tanzania JK Katika Uzinduzi wa Jengo Jipya la CAG, Mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.

    Weka picha ya Jengo. Limegharimu kiasi gani?
Back
Top Bottom