Recent content by chiddy boy

  1. chiddy boy

    Nafasi za masomo katika chuo cha maji

    Mkuu,ckuweza kufika nlipoona nmepangiwa EGM,je baada ya kumalza advance naweza pia kufanya application apo
  2. chiddy boy

    Mimi ni member mpya

    Welcome,njoo tupeane hiii pm
  3. chiddy boy

    Tangazo la sponsorship KIU-Dar ngazi ya cheti hadi digrii

    Nahitaji kuapply na nilini mwisho wa kuapply chuoni hapo
  4. chiddy boy

    Tangazo la sponsorship KIU-Dar ngazi ya cheti hadi digrii

    Mkuu kwa matokeo haya ni kozi yani naweza nikaipata chuoni hapo na pia sitaweza jutia kwa haya matokeo English B Biology C Mathematics C Geography C Kiswahili C History D Civics D Chemistry D Mkuu,ushauri wako nawasilisha
  5. chiddy boy

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Wakuu,nlikuwa naomba kujua ni course gani nzuri chuoni kwa MTU aliye soma EGM,na yenye soko kubwa katika ajira, Nawasilisha kwenu wakuu mnisaidie
  6. chiddy boy

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    School:kagango Region:kagera WhatsApp no:0672938382
  7. chiddy boy

    Naomba kufahamishwa kuhusu Kagango sec school

    Ahsante mkuu maana nlishaanza kuogopa
  8. chiddy boy

    Naomba kufahamishwa kuhusu Kagango sec school

    Ahsante mkuu nimekupata,nnanza kuipatia picha
  9. chiddy boy

    Naomba kufahamishwa kuhusu Kagango sec school

    Ahsante mkuu nimekupata,nnanza kuipatia picha
  10. chiddy boy

    Naomba kufahamishwa kuhusu Kagango sec school

    Kwan bado lipo tetemeko huko???
Back
Top Bottom