Kweli kutangaza nia sio mbaya ila unaonekana mwanasiasa muoga ambaochadema hatuwataki,mpakaleohujafungua hata tawi moja la chadema monduli halafu unataka ubunge kupitia chadema siasa sio rahisi kama unavyofikiria ,jimbo la monduli linahitaji mtu kamanda wa ukweli aliyejitolea kupambana na aina...