habari wadau, kuna kampuni moja inaitwa si -electron ambayo inahusika na uuzaji wa computer used. malipo ya bidhaa zao wanafanya through western union na mzigo unakufikia kupitia DHL au Fedex mahala ulipo. naomba kufaham kama kuna mtu mwenye experience na kununua bidhaa kutoka kwenye kamouni hii...
nimefanya ivyo ndugu yangu, nli google, nikaenda hp support forum lakin cjapata solution ya maana.
mmoja alishauri kuifunika kwa dk kadhaa na koti zito au blanket hadi ipate moto alafu itawaka. nimefanya ivyo na wala haijasaidia kitu, japokuwa kwa baadhi ya waliochangia kwao solution hiyo...
habari zenu wana jf..
nina laptop yangu aina ya hp 6535b, na nimeinunua used tangu 2012 na ilikuwa safi tu mpaka mwaka huu mwezi wa tano ilipogoma kuwaka mpaka leo hii!
ilianza tatizo hili ghafla tu, ukiiwasha inawaka halafu caps lock na number lock zinakuwa zinablink kwa pamoja mara tano na...
asante sana ndugu ilonga kwa msaada wako, nimegundua hii sim ina uwezo mdog kwani sim hii ninayotumia sasa connections zipo faster na wakati nipo kwny eneo hilo hilo na inatumia GPRS kama hii ndog ninayohangaikia kui connect
asante sana asee, imekubal lakini inachukua mda mrefu sana kufunguka. nimejaribu kudownload operamini, lakin inakata alaf inasema network error, nifanyeje ili iwe faster
wana jf, naomba msaada jins ya ku connect sim na internet. nina sim yang aina ya samsung GT C3212i inanisumbua kwel ku connect internet. nashindwa kuelewa shida ipo wap, na kitu kingine kuna jamaa flani wakat nipo chuo alikuwa anafanya kazi ya kufungulia watu internet kwenye sim zao, ilikuwa ni...
naombeni msaada kwa anayefahamu kwa sababu nimekuwa nikipiga sim kuongea na mkuu wa chuo nilichoomba lakini kwa line yangu ya tigo wananiambia kuwa niangalie vizuri number yangu kisha nipige tena. nimejaribu kwa muda mrefu sana bila mafanikio. please naomba msaada wa haraka kwa anayefaham juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.