Recent content by chibuOG

  1. chibuOG

    Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Uislamu na Ukristo ni dini moja iliyotokana na Ibrahimu baba wa Imaan lakini mapokeo ya waarabu na mapokeo ya wazungu yakawa tofauti lakini chimbuko ni moja na ndio Dini zinazoongoza kwa kujiona Bora kuliko imani zingine zote na ndizo zinazoongoza kwa kutenga wengine kama sie wapagani na waabudu...
  2. chibuOG

    Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

    Hakuna maudhui yeyote ya Kiislamu kwenye tamthilia za kituruki,kama kweli unauelewa uislamu
  3. chibuOG

    Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Jamani hayo ndo maendeleo tunayoyataka kama vile cobham pale Chelsea au Ettihad Campus pale Man City au Carrington pale Man United
  4. chibuOG

    Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Acha ujuaji kwenye vitu usivyovijua ndugu yangu.Viwanja vya mazoezi vinajengwa hata 10 kwa mtindo huo kwa maana nin kwaajili ya mazoezi na mechi za ndogo za mazoezi.Kama kweli mtu wa football fuatilia pale Crrington uwanja wa mazoezi wa machester United kuna viwanja vngapi na vimekaaje cheki...
  5. chibuOG

    Azam kufungua kesi,TFF kuipokonya Sumba magoli mawili ya offside na alama tatu

    Azam alistahili ushindi kwa kile kijishuti kimoja alichopiga dakika ya 87?
  6. chibuOG

    Nchi inapaswa kujua aliyekuwa anapewa "Live Location" na Data za Mawasiliano za Lissu ni nani

    https://www.theguardian.com/world/2024/sep/24/firm-disclosed-phone-data-of-shot-tanzanian-politician-tundu-lissu-uk-tribunal
  7. chibuOG

    Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

    Dah mie nililea mimba hewa na watoto mapacha wakazaliwa halafu wakafa nikaombwa na hela ya kuwafanyia arobaini dah WE BINTI WA KITANGA nashkuru sana aisee
  8. chibuOG

    Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    dah inatosha kabisa kuanzia maisha
  9. chibuOG

    Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    Nyumba hata kama iwe kama kituo cha polisi yaani chumba na sebule tu inatosha ili nimkimbie Mama mwenye nyumba aisee
  10. chibuOG

    Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    Ndugu yangu kahela hako kiduchu mahitaji mengi kiukweli sina zaidi tu ya kupata angalau vyumba viwli na sebule na kijiko mkwara inatosha kabisa.
  11. chibuOG

    Kwa Milioni 15 naweza kujenga nyumba ikakamilika na nikahamia?

    Nina milioni 15 CASH na kiwanja kipo kigamboni nataka kujenga naomba kujua kwa pesa hiyo naweza kukamilisha nyumba nikahamia kabisa?
  12. chibuOG

    Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

    Mungu sio shemeji yako kwahiyo AL ahly hawezi kupata hilo goli kama unavyoomba iwe.
Back
Top Bottom