Recent content by Chibolo

  1. Chibolo

    Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

    Jamani natamani iwe hivyo unavyowaza jamani labda tunaweza kupata unafuu
  2. Chibolo

    Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

    Polepole aliwaambia mtoa lisu gerezani na chadema iluhusiwe kwa masilahi ya nchi wakaziba masikio hawakuelewa sasa maji yameanza kukorogeka
  3. Chibolo

    Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

    Kwanini umewaza hivyo
  4. Chibolo

    GE2025 ‘Kapteni Tesha’ kawapa matumaini hewa

    Wewe hukumuelewa kapten alisema watawala wamezoea kuwa watanzania ni walewale lakini yeye alisisitiza this time mambo ni tofauti kwa maana hii kuna kitu
  5. Chibolo

    Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

    Yaaani Mungu asaidie mtizamo wako uko hivyo
  6. Chibolo

    Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

    Huu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
  7. Chibolo

    Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

    Watampa kesi ya uhaini huyu anaweza kuunganishwa na lisu
  8. Chibolo

    GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Hata kama ni akaunt yake kuthibitisha mahakamani kwamba yeye ndiye anayetoa updates ni ngumu Ni
  9. Chibolo

    GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Kanisa katoliki halilumbani wala kushindana na serikali

    Ndo maana mimi huwa sina muda na kufatilia mambo ya dini
  10. Chibolo

    DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

    Damu za watu ni mbaya zitawakalia kichwani nawaambia
  11. Chibolo

    GE2025 Tume Huru ya Uchaguzi inatoa kauli gani wanafunzi kutolewa Shuleni kwenda kwenye mikutano ya Vyama vya Siasa?

    Majaji wameshindwa kuongoza tume bora waondolewe warudishwe mahakamani waendelee na kazi yao ya kusikiliza tu kesi
  12. Chibolo

    DOKEZO Tumepoteza vijana. Wengi hawajulikani walipo

    Na pole pole alisema hiki kikosi kinachopoteza watu kinamilikiwa na mtoto wa familia
  13. Chibolo

    Alipewa kitengo cha kutuma SMS kuhusu uchaguzi anafanya kweli ila raia hatuna mpango huo wa uchaguzi

    Sasa hivi wameacha za takukuru wameanza za uchaguzi hivi hamna namna ya kublock hizi msg zisiingie
Back
Top Bottom