Recent content by Chevi_masta

  1. Chevi_masta

    JamiiForums Hii Rekodi ya Cr7 ni ya kigaidi sana.[emoji119][emoji119]

    [emoji1033] Aguero: Hat-trick 12 kwenye Premier League ndani ya miaka 10. [emoji1200] Lewandowski: Hat-trick 14 kwenye Bundesliga ndani ya miaka 14. [emoji1033] Messi: Hat-trick 36 kwenye La Liga ndani ya miaka 17. [emoji1201] Cristiano Ronaldo: Hat-trick 34 kwenye La Liga ndani ya miaka
  2. Chevi_masta

    JamiiForums Simba yapata kocha mpya

    "Tangu aondoke Kocha wa Viungo wa zamani Simba tumekaa muda kidogo bila Kocha mpya wa Viungo, niwaambie wana Simba hii Wiki haiishii tutamleta Kocha mpya wa Viungo" Ahmed Ally
  3. Chevi_masta

    JamiiForums Sababu gani inakwamisha mchakato wa Katiba Mpya nchini?

    Jee ni Sababu ipi inayo kwamisha mchakato wa Mabadiriko ya Katiba Nchini Tanzania,.?[emoji848][emoji848]
  4. Chevi_masta

    JamiiForums Matola kuondoka Simba

    Kocha Seleman Matola anaondoka Simba kwa muda ili akasome. Matola amepata fursa ya kwenda kusoma kozi ya leseni A ya CAF, ataanza Novemba 21 ambapo atasoma kwa wiki mbili, kisha atarejea kikosini hapo kwa kuyafanyia kazi kwa vitendo mafunzo aliyoyapata. Cc: Mwanaspoti
  5. Chevi_masta

    JamiiForums Uchumi wa Kati

    Jee Tanzania bado tupo Kwenye Uchumi wa Kati,.?
  6. Chevi_masta

    JamiiForums Chuo Kikuu cha Dodoma

    Doooh! Anko unaifahamu adi familia yangu na level ya Elimu niliyonayo [emoji23][emoji23][emoji119]
  7. Chevi_masta

    JamiiForums Chuo Kikuu cha Dodoma

    Doooh [emoji848][emoji848]
  8. Chevi_masta

    JamiiForums Chuo Kikuu cha Dodoma

    Hivi hapa Tanzania Kuna chuo Kikubwa zaidi ya UDOM,.? [emoji848][emoji848]
  9. Chevi_masta

    JamiiForums Wananchi Mihogo Party

    Timu ya Wananchi, @yangasc1935 Jumapili kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar imeandaa sherehe fupi inayofahamika kama 'Wananchi Mihogo Party' ambayo imeandaliwa rasmi kwa ajili ya mashabiki wa timu hiyo.
  10. Chevi_masta

    JamiiForums Gazeti la Mwana Habari lamrarua Kubenea

    Katika hali isiyo ya kawaida kwenye Gazeti la Raia Mwema linalomilikia na Sead Kubenea limekuwa na mwendelezo wa kuchafua viongozi mbalimbali wa Kiserikali akiwemo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa kwa mfululizo pasipokuwa na woga wowote,lakini haishiii...
Back
Top Bottom