Chevi_masta
Member
- Sep 13, 2021
- 11
- 15
"Tangu aondoke Kocha wa Viungo wa zamani Simba tumekaa muda kidogo bila Kocha mpya wa Viungo, niwaambie wana Simba hii Wiki haiishii tutamleta Kocha mpya wa Viungo" Ahmed Ally
sijui kwakweli yule tumbotumbo vipi?Safari hii huyo kocha wao wa viungo anatokea wapi? Barcelona, au Bayern Munich?