WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amewataka Maafisa Uhamiaji nchini, kuepuka rushwa na kutokuwanyanyasa wageni na hasa wawekezaji nchini.
Akizungumza katika kikao cha Maafisa Uhamiaji Waandamizi kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Uhamiaji (Trita), Mjini Moshi, leo, Lugola...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas amesema serikali itawafungulia kesi ya kuhujumu nchi watu wote watakaobainika kuihujumu serikali juu ya kukamatwa kwa ndege ya Tanzania nchini Afrika Kusini, pindi kesi iliyoplekea kukamatwa ndege hiyo itakapomalizika.
Akizungumza mjini Dodoma leo...
Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu sasa, hili kundi la watu wachache wanaopigia kelele utendaji wa serikali ya awamu tano, nikagundua kuwa wengi wao ni wale walipata kuwa vigogo kwa muda mrefu ndani ya chama tawala na serikali katika awamu zilizopita ambao tayari walikuwa wameshasimika mizizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.